Kwa hiki kinachoendelea kisichofikia hata robo ya vita, nahamasika kujenga zaidi kijijini, ngoma ikivuma sana ikalipuka tutaishi vichakani kama kuku

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,447
Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana.

Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka, isipokuwa kama unaishi maeneo yenye ulinzi na watu walio ndani ya mifumo ya usalama. Kwingineko, hatuko salama kabisa.

Wakati wa MO29 hatukuweza kutoka nje. Watu wengine walijikuta wahanga bila hata kushiriki maandamano. Kupata huduma za kijamii ilikuwa changamoto kubwa. Na bado, hali ile haijafikia hata sehemu ndogo ya kile kinachoweza kutokea kwenye vita.

Ukifikiria kama hali ingeendelea kuwa mbaya zaidi, ni rahisi kuona jinsi watu wangekimbilia misituni bila makazi maalum, wengine wakitafuta hifadhi kwenye kambi za wakimbizi na kulala kwenye mahema.

Sehemu ambazo zilionekana kuwa salama zaidi ni vijijini. Watu waliendelea na shughuli zao, walienda kusali, wakafanya ibada zao, na kuishi maisha yao kwa uhuru zaidi.

Kwa jinsi mambo yanavyoendelea na vijana wanavyozidi kupoteza uoga tuliokuwaga nao vizazi vya kabla ya miaka ya 90, kuna hatari ya waandamaji kujilinda kwa njia ambazo zinaweza kuongeza machafuko. Hali kama hiyo inaweza kupelekea mazingira yanayokaribisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo mara nyingi huanzia mijini, kwenye majiji au makutano ya mkoa.

Kwa yote haya, kujenga maisha na makazi ya kudumu vijijini ni muhimu sana. Sio kwamba familia nzima inategemea nyumba moja tu ipindi cha sherehe au misiba bali kila mtu kuwa na nafasi yake ya kujitegemea na usalama wake.
 
Vita haiwezi tokea , sababu tuna jeshi la kisenge , na raia hatuna nyenzo zaidi ya vibiriti na mawe..kitakochotokea ni muendelezo wa unyanyasaji kwa wananchi na utekaji kwa maeneo ya miji mikubwa
Nani kakwambia vita huwa zinaanzaga kwa kuzitegemea ?

Ni out of nowhere mambo huwa yanaanza kidogo kidog mwisho kinawaka ile mbaya.

vita ikishaanza biashara ya silaha za magendo huwa inakua sana, Lori moja tu linaweza kuvusha mamia ya bunduki na rushwa huwa katika kiwango cha juu sana, mtu apate chochote aiwekee mazingira ya usalama familia yake
 
Nani kakwambia vita huwa zinaanzaga kwa kuzitegemea ?

Ni out of nowhere mambo huwa yanaanza kidogo kidog mwisho kinawaka ile mbaya.
Kwa sisi bado sana, licha ya mauaji yaliyotokea serikali nzima ,jeshi , polisi na vyombo vyote vya usalama wanaungana na muuwaji wetu..ili vita itokee ni lazima kundi moja wapo katika hayo machache waonyeshe kupingana na udhalimu huu wa serikali batili .mbali na hapo Itakua ni sisi raia dhidi ya serikali batili na vikosi vyote vya usalama hivyo haitokua vita Bali mauaji ya kimbari ,sababu raia hatuna uwezo wa kujitetea kikamilifu kimapigano
 
Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana.

Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka, isipokuwa kama unaishi maeneo yenye ulinzi na watu walio ndani ya mifumo ya usalama. Kwingineko, hatuko salama kabisa.

Wakati wa MO29 hatukuweza kutoka nje. Watu wengine walijikuta wahanga bila hata kushiriki maandamano. Kupata huduma za kijamii ilikuwa changamoto kubwa. Na bado, hali ile haijafikia hata sehemu ndogo ya kile kinachoweza kutokea kwenye vita.

Ukifikiria kama hali ingeendelea kuwa mbaya zaidi, ni rahisi kuona jinsi watu wangekimbilia misituni bila makazi maalum, wengine wakitafuta hifadhi kwenye kambi za wakimbizi na kulala kwenye mahema.

Sehemu ambazo zilionekana kuwa salama zaidi ni vijijini. Watu waliendelea na shughuli zao, walienda kusali, wakafanya ibada zao, na kuishi maisha yao kwa uhuru zaidi.

Kwa jinsi mambo yanavyoendelea na vijana wanavyozidi kupoteza uoga tuliokuwaga nao vizazi vya kabla ya miaka ya 90, kuna hatari ya waandamaji kujilinda kwa njia ambazo zinaweza kuongeza machafuko. Hali kama hiyo inaweza kupelekea mazingira yanayokaribisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo mara nyingi huanzia mijini, kwenye majiji au makutano ya mkoa.

Kwa yote haya, kujenga maisha na makazi ya kudumu vijijini ni muhimu sana. Sio kwamba familia nzima inategemea nyumba moja tu ipindi cha sherehe au misiba bali kila mtu kuwa na nafasi yake ya kujitegemea na usalama wake.
kweli 100%
 
Kwa sisi bado sana, licha ya mauaji yaliyotokea serikali nzima ,jeshi , polisi na vyombo vyote vya usalama wanaungana na muuwaji wetu..ili vita itokee ni lazima kundi moja wapo katika hayo machache waonyeshe kupingana na udhalimu huu wa serikali batili .mbali na hapo Itakua ni sisi raia vis serikali batili na vikosi vyote vya usalama hivyo haitokua vita Bali mauaji ya kimbari ,sababu raia hatuna uwezo wa kujitetea kikamilifu kimapigano
Kukishakuwa na MISTRUST na GAP kati ya JESHI na RAIA, ujue huna JESHI tena hapo.
 
Ukileta vurugu za wizi na uharibifu wa mali popote pale utafatwa na kutembezewa kichapo haijalishi utaenda wapi hata huko kijijini.

Operation ya kutokomeza nyumbu ipo popote pale hadi mtubu .
 
hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana.
Nchi imesimama kwa muda na muda umeisha muda ulikua sio rafiki sasa muda umeisha.. waambieni wale wanaouliza "WHO ARE YOU?" huku wanabinua midomo km watoto wa middle school wasitembee na magari wala ndege kipindi hiki waende wakatafute kwa kujichimbia muda umeisha hizi ndio zile dakika za lala salama.. kitu kinachofuata January 12
 
Ukileta vurugu za wizi na uharibifu wa mali popote pale utafatwa na kutembezewa kichapo haijalishi utaenda wapi hata huko kijijini.

Operation ya kutokomeza nyumbu ipo popote pale hadi mtubu .
Muda umekwisha.. muda ukipewa utumie vizuri muda umekwisha kaa kimya
 
Wewe mwenye nacho ndiyo unahofu sana. Sisi akina pangu pakavu tunatamani timbwili ili hata ninyi wezi wa Kodi zetu muonje machungu.
 
Kama ndio hivyo mji wa Dar uchumi utashuka sana. Uchumi ni watu wenye utuli
Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana.

Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka, isipokuwa kama unaishi maeneo yenye ulinzi na watu walio ndani ya mifumo ya usalama. Kwingineko, hatuko salama kabisa.

Wakati wa MO29 hatukuweza kutoka nje. Watu wengine walijikuta wahanga bila hata kushiriki maandamano. Kupata huduma za kijamii ilikuwa changamoto kubwa. Na bado, hali ile haijafikia hata sehemu ndogo ya kile kinachoweza kutokea kwenye vita.

Ukifikiria kama hali ingeendelea kuwa mbaya zaidi, ni rahisi kuona jinsi watu wangekimbilia misituni bila makazi maalum, wengine wakitafuta hifadhi kwenye kambi za wakimbizi na kulala kwenye mahema.

Sehemu ambazo zilionekana kuwa salama zaidi ni vijijini. Watu waliendelea na shughuli zao, walienda kusali, wakafanya ibada zao, na kuishi maisha yao kwa uhuru zaidi.

Kwa jinsi mambo yanavyoendelea na vijana wanavyozidi kupoteza uoga tuliokuwaga nao vizazi vya kabla ya miaka ya 90, kuna hatari ya waandamaji kujilinda kwa njia ambazo zinaweza kuongeza machafuko. Hali kama hiyo inaweza kupelekea mazingira yanayokaribisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo mara nyingi huanzia mijini, kwenye majiji au makutano ya mkoa.

Kwa yote haya, kujenga maisha na makazi ya kudumu vijijini ni muhimu sana. Sio kwamba familia nzima inategemea nyumba moja tu ipindi cha sherehe au misiba bali kila mtu kuwa na nafasi yake ya kujitegemea na usalama wake.
 
Nchi imesimama kwa muda na muda umeisha muda ulikua sio rafiki sasa muda umeisha.. waambieni wale wanaouliza "WHO ARE YOU?" huku wanabinua midomo km watoto wa middle school wasitembee na magari wala ndege kipindi hiki waende wakatafute kwa kujichimbia muda umeisha hizi ndio zile dakika za lala salama.. kitu kinachofuata January 12
Lucha aisome hii because he's totally obsessed with blood shedding acts

Na cha ajabu shetani anamwambia Mungu Yehova eti atubu🤔🤔

Hawa watoto wa mahayawani wa CCM kina Lucha ndo wakuanza nao kuanzia D9 shenzitype hawa...

Wamevimbiwa mapesa ya kifisadi na wizi wa mali asili zetu leo wanatuletea maneno ya shobo hapa

Nyie kina Lucha, mtatuua baadhi yetu, lakini ninyi tutawakamata na kuwaueni wote na kufuta kila uchafu na alama ya CCM hapa Tanganyika. Nyambafffffffffff sana nyie🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Vijijini nako kunaweza kuwa ndiyo hatari zaidi. Unafikiri kwa nini Kinshansa ni moja ya miji yenye watu wengi duniani? Raia walikimbia vita na mauaji makali huko vijijini.
 
Lucha aisome hii because he's totally obsessed with blood shedding acts

Na cha ajabu shetani anamwambia Mungu Yehova eti atubu🤔🤔

Hawa watoto wa mahayawani wa CCM kina Lucha ndo wakuanza nao kuanzia D9 shenzitype hawa...

Wamevimbiwa mapesa ya kifisadi na wizi wa mali asili zetu leo wanatuletea maneno ya shobo hapa

Nyie kina Lucha, mtatuua baadhi yetu, lakini ninyi tutawakamata na kuwaueni wote na kufuta kila uchafu na alama ya CCM hapa Tanganyika. Nyambafffffffffff sana nyie🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
Jaribu tena uone , safari hii nyumbu yoyote atakaefanya vurugu, wizi na uharibifu wa mali atapigwa risasi hapohapo mbele ya mali aliyoiba au kuharibu .
 
Muda umekwisha wewe endelea kujifariji ila jua kwamba muda umeisha..
 
Back
Top Bottom