Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

watu wameingiza siasa kwenye jambo la msingi. alafu kuna kura gani? inayopigwa kwauwazi? kura ni siri bana. ccm kwanini wanaogopa kura za siri?
 
Ee Mungu wasamehe hawa tuliodhani wangetuwakilisha KWA HEKIMA NA BUSARA. Sijui tatizo liko wapi DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kosa kubwa hii ni hatua ya juu. Tumeruka hatua ya msingi. Nguzo za katiba ni nini ? Haya yangeamuliwa kwanza hata kabla tume haijasonga mbele kwa rasimu ya pili. Turudi kwenye hatua tulioruka. Bunge lisitishwe twende kwenye kura ya maoni tunataka muundo gani wa nchi yetu.
 
Tatizo kuna watu wanataka kupelekesha wenzao na hao wachache hawataki kuburuzwa.
Nasikitika kwamba wajumbe wameingiza kampeni za vyama kwenye suala nyeti Kama hili! what a shame to my country!
 
kosa kubwa hii ni hatua ya juu. Tumeruka hatua ya msingi. Nguzo za katiba ni nini ? Haya yangeamuliwa kwanza hata kabla tume haijasonga mbele kwa rasimu ya pili. Turudi kwenye hatua tulioruka. Bunge lisitishwe twende kwenye kura ya maoni tunataka muundo gani wa nchi yetu.
 
Chakula mpaka saa saba za usiku? Duh! Hicho kilikuwa chakula cha nguvu!!!!
Kuna wakati ni siri ndio maana wenje amesema watu wamekula kwa siri mpaka saa saba usiku.
 
kwa mtindo huu na yanayoendelea bungeni yanakatisha tamaa hatuwezi kupata katiba mpya.
 
Ivi jamani , naami kama ww ni mtanzania .. Utakua ushachoshwa ,na kukataa tamaa na kinachoendelea bungeni.. Kila siku mambo yaleyale , mambo hayasogi wala hayaendi .. Ni vituko tu..
Matusi ,na vijembe tu.
Wajumbe wamejisahau ,wanatetea maslahi ya vyama badala ya maslahi ya wananchi.

Ivi hakuna sheria inayowaruhusu wananchi kuingilia mchakato huu na kulikataa bunge hili kwa kuiga hata kura. ?

Inshort is too much ..
Kama hatupo tayari kuipata katiba mpya basii tuache tuu,tukiwa tayari tutaipata na kua wepesi kuipata tena iliyo lwa maslahi ya wananchi na sio vyama .
 
je kinachotokea ni ujenzi wa mnara babeli ? kosa kubwa hii ni hatua ya juu. Tumeruka hatua ya msingi. Nguzo za katiba ni nini ? Haya yangeamuliwa kwanza hata kabla tume haijasonga mbele kwa rasimu ya pili. Turudi kwenye hatua tulioruka. Bunge lisitishwe twende kwenye kura ya maoni tunataka muundo gani wa nchi yetu.
 
  • Thanks
Reactions: oba
Nasikitika kwamba wajumbe wameingiza kampeni za vyama kwenye suala nyeti Kama hili! what a shame to my country!
Acheni generalization, semeni wazi ni CCM wanavuruga mchakato kwa makusudi ili kulinda chama chao kibovu!
 
Kutegemea kupata katiba mpya chini ya bunge hili maalumu la uchakachuaji wa maoni ya watanzania likiongozwa na genge liitwalo ccm ni sawa na kusubiri supu kwenye chungu kitupu kinachochemka jikoni! Kinachoendelea dodoma ni ufisadi na uchakachuaji wa maoni ya wananchi walio wengi! Katiba mpya ni ndoto!
 
Teh teh, wajanja wanajilia vyao mapema huku wakichakachua maoni ya watanzania juu ya katiba waipendayo!
 
Wanaoharibu mchakato mzima hapo ni vyama vya siasa, sijui wakoje hawa watu kila kitu siasa.
Sasa wameshawaharibu hadi wale wajumbe 201, hakuna kitakachoendelea na wala hakuna katiba bora itakayotoka pale.
Kuna kiini macho kinachoendelea na huku kodi zinachezewa tu, hospitali hazina vifaa vya kutosha, kiujumla huduma za kijamii ni hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom