Ccm wanajua kabisa bila ushiriki wa vyama vikuu vya siasa hakuna katiba mpya,hata kama wakienda wao wakafanikisha hyo katiba mpya,italalamikiwa siku ya kwanza tu na ndiyo itakayotuingiza katika machafuko,kikubwa chama tawala waache uroho na ubinafisi,washirikiana na vyama vyote kuleta usawa
Wazanzibar waje kama wazinzibar na sio cuf na ccm na upande wa Tanganyika waje kama Tanganyika na sio ukawa na Tanzania kwanza,from there tunaweza enda kama Taifa moja na lugha za kejeri zikatoweka na kila Nchi ikadai masirahi yake kwa uwazi na sio kwa hisani kama ilivyo sasa
Tarehe5 bunge la katiba linaanza bila vyama vikuu 3 kuwepo ambao ni wadau wakubwa wa katiba hii na wao wameidai kwa miaka 25 ila wale waliopo ndani katiba hii haina faida kwao wala hasara,nways ngoja tuone akili zao zimeishia wapi kwa hili swala la Kitaifa na sio kichama