Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

Nasikiliza bunge la katiba live. Eh hiyo fujo inayoendelea utafikiri watoto wadogo!!! Hii rasimu ya katiba itapatikana kweli?

Katiba ni kitu kikubwa mno, huwezi kukipata wakati rais mwenye hila na dhaifu yupo madarakani. Hapatakuwa na katiba nakama wakilazimisha basi itapingwa the same week.
 
Kosa kubwa hapo ni muundo wa hilo bunge maalumu la katiba, kitendo cha sheria ile ya mabadiliko ya katiba kuruhusu wabunge wote waingie kwenye bunge hili ni kosa kubwa sana! Katiba mpya chini ya hao wabunge ni ndoto! Kinachoendelea hapo ni uchakachuaji wa kodi zetu na maoni ya wananchi baaasi!
 
Nasikitika kwamba wajumbe wameingiza kampeni za vyama kwenye suala nyeti Kama hili! what a shame to my country!

Yaani kwa hakika CCM ni zaidi ya kundi la mashetwani yanayoweweseka kila mtanganyika anapopata akili mpya ya kujitambua ili ajikomboe dhidi ya uovu wa miaka 50!
Ila ukombozi huu wa mtanganyika hautazuiwa na kiumbe muovu wa dunia hii kama ma-ccm yanavyohaha sasa
 
Nasikiliza bunge la katiba live. Eh hiyo fujo inayoendelea utafikiri watoto wadogo!!! Hii rasimu ya katiba itapatikana kweli?

UKAWA wakiacha fujo na kutokushaurika Katiba itapatikana bila shaka yoyote!
 
Kama katiba haitatekwa na ccm tutaipata ila magamba wakiiteka tutawaachia iwe yao.
 
UKAWA wakiacha fujo na kutokushaurika Katiba itapatikana bila shaka yoyote!

Na mwigulu akiacha kuwaita wanaotaka kura ya siri wanataka kuleta ushoga siri siri huku akiyaja majina basi katiba itapatikana.
 
Na mwigulu akiacha kuwaita wanaotaka kura ya siri wanataka kuleta ushoga siri siri huku akiyaja majina basi katiba itapatikana.

Mandela angekuwa mwoga sidhani kama ubaguzi ungeisha South Africa! Mtu kusema kwa sauti ndioooo/siooooo, eti amejaa hofu tele!
 
Mimi nilikuwa sijui..nilidhani wale wagonjwa wapo Mirembe tu kakini kumbe wengine wapo na suti kabisaa..wanatetea uozo!!
Mungu wafumbue macho watanzania wajiokoe na hatari inayowakabili
 
Kutokushaurika kwa UKAWA ndio kumezaa Tanzania Kwanza! Wakikomaa hivyo hivyo itazaliwa pia Zanzibar Kwanza, etc!

Buchanan, hebu kuwa na busara japo kidogo kwa kuzingatia cheo chako humu.
 
Last edited by a moderator:
Ndio kipindi kilichopo hewani sasa tunaweza kufuatilia majadiliano haya kwa pamoja.
 
katiba ya watz itapatikana tu pale hili genge la wahuni maccm litakapoondolewa madarakani!
 
Swali zuri sana.

Kuna mheshimiwa mmoja kadai kuwa UKAWA haujatumwa na wananchi na kama wanawakilisha mawazo ya Wananchi ni 37,000 sawa na 0.08% ya wananchi 45 milioni!
 
Kuna mheshimiwa mmoja kadai kuwa UKAWA haujatumwa na wananchi na kama wanawakilisha mawazo ya Wananchi ni 37,000 sawa na 0.08% ya wananchi 45 milioni!

Sawa, sasa hoja yako ni nini?
 
Back
Top Bottom