Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Hayo mawazo ya kitaka taka kawaambyie taka taka wenzako huko wenye mtindio wa ubongo wasioweza kufkria
Mmeshatuulia Taifa letu. Saivi tunaomba Mungu wapatikane wenye akili wawanyooshe tulifufue upya Taifa letu.

Sie saivi ni kituko kwa watu wenye akili.
 
JWTZ ni jeshi la kazi kazi..
Labda kazi ya kuponda kokoto na kufanya maonyesho ya kwata za kimya kimya.

Saivi hawa ni machawa wa CCM kama walivyo bongo movie tu sasa akili za kufanya mambo ya maana watapata wapi?
 
Na kweli Jw wame tia aibu , wizara ya ulinzi ina ongozwa na kyupi , amiri jeshi mkuu nae ni kyupi kwa nini msikae kidada dada
Shida sio kyupi. Shida ni vyombo vya nchi kugeuzwa kuwa mazezeta ya CCM.

Huwezi kubali kuwa zezeta la CCM alafu ukafanyq mambo ya maana.

Utaishiq kufanya ujinga na kudharauliwa tu.
 
Saivi wamekuwa Jeshi la Maonyesho. Leo walikuwa Comoro wanacheza kwata ya kimya kimya.

Kweli CCM wametuulia hili Taifa.

Tena kawaambia kuwa mnajisifu mnaweza kushambulia mji wetu Kigali kutoka nchini kwenu sasa nawaambia sisi tunaweza kuja hadi hapo mnapofanyia mashambulizi dhidi ya Kigali na kuwafanyizia.

Kagame mtu hatari sana.
Kagame kiboko chake ni JK hizi kelele kazileta baada ya JK kustaafu na Goma ikachukuliwa huyu ni Kurudisha wakimbizi wote Rwanda
 
Huyo kilichomsaidia ni vile tu hao anaowadhihaki walivyoshtuka kuona wakongo wenyewe hawajipambanii wanawaachia wageni wawapambanie,yaani wanawatoa kafara wageni,wageni walivyoona hivyo wakakacha kupigana ndio shinda yake kwani hakuwa na upinzaji tena ila sio kwa kuwa yupo vyema.
 
Kituko ni maudenda aliyepo gerezani na taka taka wenzake
Ndo mkome. Wenye akili na uwezo mzuri mnawafunga magerezani vilaza na wajinga ndo mnawajaza ikulu, bungeni na kwenye baraza la Mawaziri.

Matokeo yake ndo haya sasa.
 
Ndo mkome. Wenye akili na uwezo mzuri mnawafunga magerezani vilaza na wajinga ndo mnawajaza ikulu, bungeni na kwenye baraza la Mawaziri.

Matokeo yake ndo haya sasa.
Nani mwenye uwezo na yupo gerezani?
Hapo kuna mtu au takataka?
 
Huyo kilichomsaidia ni vile tu hao anaowadhihaki walivyoshtuka kuona wakongo wenyewe hawajipambanii wanawaachia wageni wawapambanie,yaani wanawatoa kafara wageni,wageni walivyoona hivyo wakakacha kupigana ndio shinda yake kwani hakuwa na upinzaji tena ila sio kwa kuwa yupo vyema.
Kwani Tanzania sasahivi tuna tofauti gani na Congo?

Katiba inasema kuwe na uhuru wa kuabudu. Watu wanaabudu alafu wanapigwa virungu na polisi alafu wananchi mnaangalia tu. Jeshi la kulinda Katiba linaangalia tu.

Watu wanafukuzwa uanachama na xhama chao na wanaendeleo kuwa wabunge na wanakula mishahara na posho kinyume na Katiba. Jeshi lililoapa kulinda Katiba linaangalia tu kama mazezeta.

Nyerere alisema mkiwaacha viongozi wafunje Katiba na Sheria mtatawaliwa na ma dictator. Ndo tulipo sasa.

CCM wanajifunjia tu Katiba wapendavyo alafu mna Jeshi linalojiita la wananchi linaangalia tu kama mazezeta.
 
Wewe na ukoo wako mzima mpaka kizazi na 10 na 12 hakuna atakayetokea anayemzidi uwezo wa kiakili Tundu Lissu.
Huo ukoo wangu wenyewe unaujua au unaropoka tu?
Haya ndo umerukwa na ukichaa unazungumzia jwtz unadhani ile n redbrigade(hamasa)
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Sasa unategemea nini mwanajeshi anatumwa uku kavishwa chuoi ya kijani yenye nembo za jembe na nyundo
 
Na huo ndio ukweli wenyewe.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Hakika kwa hili nami nawapongeza sana CCM na kiongozi wao.
 
Back
Top Bottom