Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kagame ni sisimizi tu.

Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.

JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.

Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
Wewe unaonelana MJINGA sana na hujui historianya K-GAME
 
Wewe unaonelana MJINGA sana na hujui historianya K-GAME
Historia zibaki kwenye magazeti, sisi ni kazi tu tutamnyoosha huyo KIJITI WA RWANDA na historia zake mpaka ajue Tanzania sio ya mchezo mchezo!
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
ANGALIA HII "K" KWA HYO HAPO JANA KAGAME ALIONGELEA CCM?
UPINZANI WA TANZANIA UNAKUFA NA UNAKOSA WELEDI KWA SABABU YA WATU WAJINGA KAMA HAWA..TAKATAKA KABISA
 
Historia zibaki kwenye magazeti, sisi ni kazi tu tutamnyoosha huyo KIJITI WA RWANDA na historia zake mpaka ajue Tanzania sio ya mchezo mchezo!
Ajue mara ngapi wakati kawashikisha adabu?

Nyie endeleeni kufuga uchawa kwa wajinga CCM.
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
KAGAME Kawa mkali kama pilipili!
 
Kama alijuwa sadc itafeli hakutakiwa kulipeleka jeshi kule

Na huo ndio ulikuwa ushauri wa JWTZ

Aliupuuza!.
Hawezi puuza ushauri wa jwtz kwenye operations za jwtz, muongo mkubwa,samia alishawahi ongelea restrictions za kutokwenda na silaha za jwtz DRC,wakuu wa majeshi sadc walikutana mara kadhaa kwa hili
 
Sasa wewe hujui sababu kuu ya nchi yetu, taasisi zake na mifumo kuanguka?

Hujui shida ni CCM ambao wameamua kuhodhi kila kitu?
Hayo mawazo ya kitaka taka kawaambyie taka taka wenzako huko wenye mtindio wa ubongo wasioweza kufkria
 
Back
Top Bottom