Kwa Baregu si sawa ila kwa Migiro ni sawa?

Kwa Baregu si sawa ila kwa Migiro ni sawa?

kwa baregu walitumia ile issue ya umri wa kustaafu
 
una uhakika na hayo maneno yako kuwa chadema ndiyo sababu. Mbona rwaitama ajafukuzwa.

mkumbuke lamwai alivyoaibishwa baada ya kuchukua jimbo la ubungo kwa tiketi ya upinzani unajua kilichompata? Alifukuzwa kazi mvimani na kampuni yake ya uwakili ikafungiwa . Kwa hivyo kwa utawala wa magamba mi sishangai yaliyomkuta baregu.
 
Haya sio maajabu ni ya kawaida tu wanajeshi wanapewa kazi za kisiasa wakati wakiwa bado hawajastaafu! Tuna Rais asiyeheshimu katibu aliyoapa kuilinda na wabunge wengi wa ccm wachumia tumbo hata ukisema upeleke mswaada wa kumshitaki rais kwa kuvunja katiba itakuwa ngumu kupitishwa! tusubiri tu 2015 tutoe sauti zetu!
 
Inawezekana ameshauriwa vibaya!

du jamani inamaana jamaa yeye kila kukicha anashauriwa vibaya? Basi yeye ndo mbovu kwakuteuwa washauri wabovu na wanapokosea hawawajibishi, nazidi kuamini usemi wa Mnyika kuwa raisi ni DHAIFU.
 
mgoni wa mahimbo mume wa ndoa wa josephine + mimba ya mbunge viti maalum arusha + kujichotea ruzuku ya chama is equal to ukanda na ukatoliki

Lazima utakuwa na PHD ya Madrasa tu wewe
 
berengu ni vuvuzela
kweli amigo! Huyu Baregu kumtetea mikosi yake ni sawa kumpatia Gadafi tenda ya kusambaza Biblia! Huyu Baregu aliisha mkana Mungu na hataki kabisaa kusikia kitu kiitwacho christianity.mwisho wa siku atajikuta hapendwi na kila kiumbe kama ilivyo kwa Kingunge na watu wengine walimkana mungu kwa kuupenda ukomunisti!!!
 
Ina aeleza kwamba huko Chuo Huria ni kichwa cha Mwendawazimu.
 
Dr Asha Rose Migiro her appointed position of "Chancellor of OUT" is Ex-officio position i.e. she will not be involved in day to day management activities of OUT. Prof. Baregu was full time employee of a Government Institution...Government employees are not allowed to participate direct in political practice SAMRICH1

It seems as if there is always an explanation ready for any given situation to justify controversial decisions.

Dingswayo it is not a prepared explanation for anticipated controversial rather it is a fact. In terms of roles, is there any difference between TANAPA or TANESCO chairperson and a Chancellor of a University? Are they executive or ex-officio?

:fencing:Na Dr. Sengodo Mvungi je? :fencing:
Thanks kinauche for this. Kuna mdau Ndachuwa anajifanya kutetea utumbo uliooza, haya aseme na hapa ni nini kitu gani hii,if not double standard..
 
Last edited by a moderator:
"Inaashiria utawala bora".Nyerere alisema huwezi kula mayai mabovu kwa sababu huwezi kutaga,Ndugu tunaweza kuogopa kusema lakini wote tukiogopa kusema ni hatari zaidi.kumeshakucha tuendelea kusema
 
Hivi kwa nn hakumteua profesa Safari au Lipumba kuwa mkuu wa chuo hapo ili kubalance upepo wa kisiasa?
 
kweli amigo! Huyu Baregu kumtetea mikosi yake ni sawa kumpatia Gadafi tenda ya kusambaza Biblia! Huyu Baregu aliisha mkana Mungu na hataki kabisaa kusikia kitu kiitwacho christianity.mwisho wa siku atajikuta hapendwi na kila kiumbe kama ilivyo kwa Kingunge na watu wengine walimkana mungu kwa kuupenda ukomunisti!!!

Pole mkuu umeongea pumba na mbolea
 
...kwani Dr. Mvungi Sengondo yule wa NCCR naye amefukuzwa UDSM?
 
Hii inaashiria kwamba kila mtu ana bahati yake katika maisha yake mpaka pale Mwenyezi Mungu atakapomchukua duniani.

Suala hili si la kuhoji ni suala la ufikiri usio mkubwa sana kwani kabla kuuliza hili ilibidi tujiulize;

Kwa sasa Ndugu/Prof. Baregu ni nani na yuko wapi na nani alimuweka mahala alipo sasa?
 
Anaashiria harufu ya Pembe za Ndovu

Nafkiri Baregu alimaliza muda wake wa mkataba na alitaka ku renew but kwa maagizo ya JK alikataliwa!!!!Kilichofanyika ni siasa chafu.Jiulize mbona hizi siasa hazikufanyika kwa Dr Mvungi ambaye alikua ni mwajiriwa wa UDSM,Mbona pamoja na kua kiongozi wa NCCR Mageuzi ameteuliwa na JK kua mkuu wa chuo cha Ustawi wa jamii.Siasa uchwara ndio inalirudisha taifaa hili nyuma.
 
hiyo ni gesi ya ccm, hakuna wa kuizuia kupelekwa popote.
 
Back
Top Bottom