Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.
Je, hali hii inaasharia nini?
Haki yako inapo ishia ndipo haki ya mwingine inapo anzia!
Inaashiria UBAGUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.
Je, hali hii inaasharia nini?
Hii inaashiria chama mbele utendaji baadae
Double standards!Haki yako inapo ishia ndipo haki ya mwingine inapo anzia!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.
Je, hali hii inaasharia nini?
Unajua mkulu wetu huwa akiambiwa kitu na washauri wake hutenda bila kufikiria mara mbili mbili.
Huu ni udhaifu mkubwa wa uongozi na ningependa waandishi wa nyombo vya habari waandae mjadala kuhusu hili maana lina maana sana katika siasa na elimu kwa ujumla maana kumuondoa Baregu kwa kisa tu ni mjumbe wa chama fulani cha upinzani na kumuweka madamee Migiro ambaye naye ni mjumbe pia kwenye siasa.
Hawa ndio viongozi ambao wakiondoka madarakani huwa tunawaona wakifungwa gerezani kwa matumizi mabaya ya madaraka,siku zinahesabika na hakuna mtu atakayebaki salama ambaye tunajua fika alitumia madaraka yake vibaya wakati akiwa madarakani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.
Je, hali hii inaasharia nini?
Sio kweli nini?