Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Tanzania zaidi ya uijuavyo
[h=5]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.
Je,hali hii inaasharia nini?[/h]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Kwani hukusikia tulivyosifiwa Adis kwenye APRM- hata Zuma amesema anakuja kujifunza kwetu tunavyfanikiwa katika kudhibiti rushwa kwa viongozi na manunuzi ya umma(Mwanachi 30.1.13) kweli sisi tupo Tz lakini hatuijui
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.
Je, hali hii inaasharia nini?
Dr Asha Rose Migiro her appointed position of "Chancellor of OUT" is Ex-officio position i.e. she will not be involved in day to day management activities of OUT. Prof. Baregu was full time employee of a Government Institution...Government employees are not allowed to participate direct in political practice SAMRICH1
Usishangae- Hukusikia tulivyosifiwa juzi huko Addis - hadi Zuma amesema atakuja kujifunza kwetu tulivyofanikiwa kudhibiti rushwa kwa viongozi na manunuzi ya umma(Mwananchi 30.1.13). Ama kweli tupo Tz alkini hatuijui
Dingswayo it is not a prepared explanation for anticipated controversial rather it is a fact. In terms of roles, is there any difference between TANAPA or TANESCO chairperson and a Chancellor of a University? Are they executive or ex-officio?It seems as if there is always an explanation ready for any given situation to justify controversial decisions.
Una uhakika na hayo maneno yako kuwa Chadema ndiyo sababu. Mbona Rwaitama ajafukuzwa.
Kwa nini vichaa wanaongezeka kwa kasi nchi hii?berengu ni vuvuzela
berengu ni vuvuzela