mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,168
- 8,937
Ukimuona kobe juu ya mti jua kabebwa,akitaka kushukwa ama ashushwe na aliyempandisha au aanguke au afie juu hukohuko,hii ndio hali ya madamee mzoea kubebwa,kila post ya kisiasa ni kama furushi hubebwa na kuachwa sehemu nayohitajiwa furushi liwepo