Kwa Baregu si sawa ila kwa Migiro ni sawa?

Kwa Baregu si sawa ila kwa Migiro ni sawa?

dogo kama wewe si graduate huwezi elewa haya mambo. wakuu wa chuo sio watendaji siku zote. hata mkapa ni mkuu wa udom, anafundisha? Dr. Bilal (vice president) ni mkuu wa Nelson mandela kule aresha, je anafundisha? siku ingine usipost pumba kama hizi, ni vizuri ungepost kwa kuuliza. Pole!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa

(NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.

Je, hali hii inaasharia nini?
 
Wapinzani ambao sio wazalendo ukiwapa majukumu wanahujumu maendeleo ya wananchi. Mfano ni kitendo cha Mbowe kuwapongeza watu waliochoma moto mahakama na ambulance. Ukimpa huyu jukumu atawaleta wananchi matatizo kwa makusudi kwa sababu anadhihirisha kufurahishwa na matatizo ya wananchi.
 
Dr Asha Rose Migiro her appointed position of "Chancellor of OUT" is Ex-officio position i.e. she will not be involved in day to day management activities of OUT. Prof. Baregu was full time employee of a Government Institution...Government employees are not allowed to participate direct in political practice SAMRICH1

sure, hii post ni tofauti kabisa na issue ya baregu! Ukiangalia karibu wakuu wa vyuo vyote vya umma,either ni wanasiasa,au wamewahi kuwa wanasiasa,mfano,UDOM-MKAPA,MZUMBE-KADUMA,ARDHI-CLEOPA MSUYA, N-MIST-MOHAMED G BILAL
 
Inaashiria ukihamia Chadema umaskini na mambo kuwa hovyo yanakuhusu
 
Ukaburu siyo rangi,

NI UBAGUZI NDIYO UNAFANYA MTU AU KUNDI LA WATU KUITWA MAKABURU.

Seriakli ya CCM ni ya Makaburu.
 
Mkuu kweli umeibua jambo la msingi,hii inadhihirisha ubakaji wa demokrasia,uwezo mdogo wa kufikiri na ubabe ndani yake
huyo anayedaai kwa kimombo feki cha shule za kata aje iramba aone jinsi viongozi wa halmashauri tenna wakuu wa idara nk na watumishi wengine walivyo majukwaani kuhubiri ssm.njoo uone wajumbe wa nec utayajua ya baregu na migiro mlinganisho ukoje. Njoo hata usalama uone wanavyopga siasa. We vipi.
 
...kwani Dr. Mvungi Sengondo yule wa NCCR naye amefukuzwa UDSM?
NCCR ni chama kilichoanzishwa na CCM ili kupunguza adhari za upinzani baada ya vyama vingi kukubaliwa TZ. NCCR ni subset ya CCM.
 
Viongozi wazuri wanatoka ccm! I laughed , laughed and laughed. I see nimecheka mpaka basi.
 
Hivi kumbe jambo hili ndilo lilomfanya asiendelee kufundisha UDSM? Mimi nilidhani ni kwa sababu alimaliza mkataba na wakamkatalia kufanya mwingine upya.

kwa nini walimkatalia? hakuperform au ni kawaida kukataliwa kuongeza mkataba?
 
Tabia ya kulialia kila kitu inaweza kufanya hata wanaolia kwa stahili waonekane wanadeka.
 
Double standard huyu mama alikuwa desk officer kule un kwa fadhila za ban ki-moon baada ya kupata kura ya tanzania,amekuja kupewa ulaji saizi!!!!!!!!
 
Dr Asha Rose Migiro her appointed position of "Chancellor of OUT" is Ex-officio position i.e. she will not be involved in day to day management activities of OUT. Prof. Baregu was full time employee of a Government Institution...Government employees are not allowed to participate direct in political practice SAMRICH1
your suggestions pliz on the case of Dr. Kitila....
 
your suggestions pliz on the case of Dr. Kitila....
luvcyna apart from media that Kitila is a CDM consultant on number of issues and his intention to vie for Iramba Constituence, and he is an employee o UDSM, I dont know his political positions in CDM
 
Last edited by a moderator:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.

Je, hali hii inaasharia nini?

We bwana weee!
Ujui kwamba kunya anye kuku akinya bata kaharisha???
Kwanza mshua si ajabu alishasahau kilishatoke kitu kama hicho kwa Prof. Beregu
 
Dr Asha Rose Migiro her appointed position of "Chancellor of OUT" is Ex-officio position i.e. she will not be involved in day to day management activities of OUT. Prof. Baregu was full time employee of a Government Institution...Government employees are not allowed to participate direct in political practice SAMRICH1
May be this apply only when that employee is a member of CCM and not the vice versa...otherwise, system at work
 
kikwete ni mpuuzi, mdini , mbinafsi, mnafiki na mtu wa visasi sana na tatizo ni akili ndogo kutawala akil i kubwa, na kila kitu kina mwisho wake kwan uongozi ni kama kiti cha basi au gazeti leo unakaa then kesho atakaa mtu mwingine. Time will tell
 
wamezoea kukandamiza demokrasia,sasa kama wafanyakazi wa serikali hawatakiwi kujihusisha na siasa..je kauli ya kinana kuwataka wafanyakazi wa serikali wawajibike kwa CCM ina maana gani?
 
Back
Top Bottom