Kwa Adhabu hii,mapenzi basi tena.

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Nilishawahi kuishi binti mtanzani kabila mmanyema,maisha yalikuwa poa hakukuwa na tatizo yoyote mwanzoni.
Baadae penzi lika change si unajua relation vile inakuwa.
Alifikia akanambia kuwa kwenye maisha mimi ndio girl wako wa kwanza na wamwisho.
By the time nikawa sifurahii mapenzi nikaenda nje.
Hali ikawa tofauti kwani kwani kila girl nakutananae mashine inashindwa fanya kazi kabisa nikikuja kwake inakuwa poa.
Nikamwambia best yangu tukaenda hospital lakini haikuwa solution.
Ndo kwenda kwa mganga akanipatia dawa kutumia nikaenda nje ikakuwa poa.
Niliporud nikamuuza yule girl wa ndani anajibu ovyo nikamwachia kila kitu na kuondoka sasa niko da na maisha mengine.
 
Duh, pole sana. Labda alikuona kicheche ndo maana akakufungia gavana!
 
hahahahaha, mi nashangaakwanza kuona ulipata akili ya kwenda kwa mganga...
 
Nilishawahi kuishi binti mtanzani kabila mmanyema,maisha yalikuwa poa hakukuwa na tatizo yoyote mwanzoni.
Baadae penzi lika change si unajua relation vile inakuwa.
Alifikia akanambia kuwa kwenye maisha mimi ndio girl wako wa kwanza na wamwisho.
By the time nikawa sifurahii mapenzi nikaenda nje.
Hali ikawa tofauti kwani kwani kila girl nakutananae mashine inashindwa fanya kazi kabisa nikikuja kwake inakuwa poa.
Nikamwambia best yangu tukaenda hospital lakini haikuwa solution.
Ndo kwenda kwa mganga akanipatia dawa kutumia nikaenda nje ikakuwa poa.
Niliporud nikamuuza yule girl wa ndani anajibu ovyo nikamwachia kila kitu na kuondoka sasa niko da na maisha mengine.
Huyo mganga ulienda yupo wapi nami niende ili niwe nang'oa milupo kiulani tehe tehe tehe tehe tehe tehe. Mambo mengine bana!
 
perfomance ysko ilishuka nini? wamanyema wanakuwaga wazuri jamani we acha. miaka ya 1994 nilimtembelea dadangu pale kndege (kiwanja cha ndege) morogoro kwenye ile house kulikuwa na mama mmoja wa kimanyema akiishi na mmewe alikuwa km ana 27 hivi walikuwa na mtoto mmoja wa kiume, jamani lile lilikuwa ni tunda yaani ukimwona yule dada unahisi kusingekuwa na dhambi ya kumtamani mke wa mtu yaani so cute khaaa wakati huo chaser box body zinatamba basi mmewe alikuwa nayoo! wamanyema mpoooooo
 
Wanachotumia huwa ni uganga au twaweza ita uchawi.
Ingawa sikugundua kama nilikunjwa au kupakwa kitu.
 
Unataka mganga gani
aloniponyesha au unataka yule girl amekwenda fanya vibaya?
 
Kwa kweli iliniadhiri sana,mpaka kuna wakati naweza amka asubuhi mzee anashindwa sign kama yupo.
 
Niliposhauri na kupelekwa na best yangu.
Nisema bac baada ya kugundua ukweli kuwa girl anaweza kuwa adui wa maisha.
So hata kama nakuwa na sex girl lakini that mapenzi real as permanent love i can't do it.
 
Kweli ni somo coz walinishauri kama vile unajidai unajua mambo kwa kitanda ndo vile girl anaweza kuganda.
So now days napanda juu ili niweze shusha vitu vyangu lakini tht mautundu siwezi fanya tena
 
Ndio lakini ni hatari na tangu anafanya nilijua kwan kile anafanya ni hatari kwangu.
At da end bado madhara yapo so ule ulikuwa upendo?
 
Back
Top Bottom