Kwa Adhabu hii,mapenzi basi tena.

Lakini ukisema hivyn unakosea.
Coz lazima nimwamini mmoja sasa yupi naweza mwamini kwa wakati huu.
Ingawa ni kweli vile nafanya haikuwa sawa.
But no one is perfect lakini tht wasn't ma purnishment.
 
Nilishawahi kuishi binti mtanzani kabila mmanyema,maisha yalikuwa poa hakukuwa na tatizo yoyote mwanzoni.
Baadae penzi lika change si unajua relation vile inakuwa.
Alifikia akanambia kuwa kwenye maisha mimi ndio girl wako wa kwanza na wamwisho.
By the time nikawa sifurahii mapenzi nikaenda nje.
Hali ikawa tofauti kwani kwani kila girl nakutananae mashine inashindwa fanya kazi kabisa nikikuja kwake inakuwa poa.
Nikamwambia best yangu tukaenda hospital lakini haikuwa solution.
Ndo kwenda kwa mganga akanipatia dawa kutumia nikaenda nje ikakuwa poa.
Niliporud nikamuuza yule girl wa ndani anajibu ovyo nikamwachia kila kitu na kuondoka sasa niko da na maisha mengine.


Sasa wewe ulitaka uchakachue tu maisha?? yeye alitafuta nja salama ya kukulinda lol
Hebu naomba contacts za huyo Mmanyema na mimi anipeleke nikamuweka huyu wangu pasword.
Natanguliza shukrani
 
Katika vita ya kukabiliana na janga hatari la ukimwi ni lazima mbinu mbalimbali salama za mapambano hayo zinatakiwa zibuniwe ili kujilinda wewe mwenyewe na mwenzi wako. Hiyo ilikuwa ndio njia sahihi ya kukabiliana na UKWARE wako na iwe ni fundisho kwa wengine. Zingatia sana kaulimbiu hii"Kama kweli unampenda utamlinda". Huyo dada alikuwa anakupenda na alitaka akulinde
 
Alitaka kunilinda kwa kunisababishia kuwa Khanisi sasa ni upendo gani,
kias cha kunifanya hadi kukosa nguvu tena kwa wakati fulani
HAPANA HUU HAUKUWA UPENDO BWANA
 
Upendo gani huo wa kukwaza kimaisha kiari cha kufanya mpaka naikosa raha ya dunia
 
Siyo poa kumfanyia hivyo mwenzio je na kwako ikikataa itakuwaje? ni kweli mwanaume anaweza kuwa kicheche mpaka ukaamua vinginevyo but ladies nawashauri kufanya hivyo ni very bad kama kweli inafanyika.
 
Yap kaka mi nakuunga mkono ingawa kuna dada humu jf anaomba eti nimpatie contact za huyu girl alonitenda ili aweze mwonye pale mahala amekwenda kunifanyia ili awe mfanyia na boy wake.
 
Hiyo dawa huwekwa knye mashine ya mwanamke,uki do nae tu yamekukuta,ni wanawake wengi hufnya hvyo,sababu kubwa huwa ni wivu,
 
Yap mkubwa that the fact.
Lakini tutaliondoaje hili kwa jamii?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom