Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Kama unao uwezo huo soko lipo wazi, nenda na mashine
zako uka supply hapo Mbezi uzibe pengo la soko.
Mbezi ipi wanajenga? Hivi wewe huko Mbezi wanapatikana wazee sasa walijenga nyumba zamani imebaki story za ghorofa za kizamani basi wengine wamekufa ndio maisha kizazi njoo, kufa na kinakuja kizaz kingine, Wewe umepewa redundacy hapo au?
 
Kama unao uwezo huo soko lipo wazi, nenda na mashine
zako uka supply hapo Mbezi uzibe pengo la soko.
Pole sana mkuu uliajiriwa kwenye store ya Waturuki ile ni kazi ya familia wewe black ulikuwa unasubiri urithi?
 
Mbezi ipi wanajenga? Hivi wewe huko Mbezi wanapatikana wazee sasa walijenga nyumba zamani imebaki story za ghorofa za kizamani basi wengine wamekufa ndio maisha kizazi njoo, kufa na kinakuja kizaz kingine, Wewe umepewa redundacy hapo au?
Mkuu be consistent la sivyo unaonekana kama mtu wa kumwaga hot air!

Kwanza ulisema hilo ni duka tu, kumbe hujafika hapo.
Ulipoambiwa kuna kiwanda cha building blocks/pavers ukadai na wewe utaenda VETA ujitengenezee pavers.
Be consistent and be focused, you are missing the whole argument here.
 
Hakuna anayependa kuweka hela yake mahala ambapo hapana usalama wa hela yake..

Hakuna International business yeyote duniani inafanyika pasipo watu kuiba, utaibiwa tu iwe kihalali au kibabe.

Dunia sio kijiji, huwezi kuwapangia watu wengine duniani namna ya kuishi huku akili huna na hauna msaada wowote kwa maendeleo ya dunia..

Wizi ni sehemu ya maisha duniani kwa sasa, kiachotofautisha ni aina ya wizi unaofanyika, wengine wanaiba bila kutumia akili na wengine wanaiba kwa kuhalalisha wizi wao, KULA ULIWE..

Akili ndio mtaji dunia ya sasa, Nguvu zilikuwa mtaji karne ya nne huko..
Wazo la mwanachadema, kweli mmeishiwa pumzi
 
Mh raisi anafanya kazi kubwa mno wanyonyaji wameanza kukimbia tumechoka kuibiwa na wageni nchi yetu n tajiri
wanaomshangilia huyu bwana ni wale wanaofurahia dhana ya "wote tuwe masikini".
ni kama ilivyotokea kwa Mugabe!
 
Unauelewa ni kwa kiasi gani biashara yao ilikuwa clean?
 
Mh raisi anafanya kazi kubwa mno wanyonyaji wameanza kukimbia tumechoka kuibiwa na wageni nchi yetu n tajiri
Hawa jamaa badala ya kulalamika ni vyema wakamngoja huyo Lowasa wao atakayeruhusu wawekezaji kufanya wanavyotaka.
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P

Magu anaua nini?

Punguza unafiki. Si wewe uliyekuwa unasema huyu ndiye Rais tuliyekuwa tunamtaka?
 
Kama walikuwa wamezoea kufanya biashara kiujanja ujanja na kukwepa Kodi hayo ndio matokeo na madhara yake mkuu. Suala la msingi pia inabidi uelewe ya kwamba sekta ya ujenzi haiko vizuri kwa sasa. Sababu mafisadi yamesimamisha ujenzi na majizi yako chini ya ulinzi.

Endelea kupiga siasa tu huku mambo yakienda ovyo ovyo.
 
Ndo athari za nchi kuongozwa na mtu mwenye sifa za kuwa Nyapara wa Magereza siyo kiongozi wa nchi
 
"Nyie" kina nani mkuu? Hapo ndipo unapoharibu maudhui ya huu mjadala. Suala la NEMC unalijua vyema!? Au unaongelea kiushabiki boss? Walikiuka taratibu nyingi za mazingira na kuchafua maji kwa kutiririsha Maji machafu na kuziba mkondo pale kwenye ofisi zao. Fuatilia kwa undani hili suala utapata ukweli wake.
Pili, suala la Kodi pia ungelifanyia utafiti ili Ujue ukweli walivyokuwa wanakwepa na kudanganya katika Kodi and returns. Sikuelewi unaposema "Kodi za ajabu ajabu" unamaanisha nini!?
Wahuni na wahujumu Uchumi ndio wanasepa. Inasikitisha kwa kuwa katika harakati za ukwepaji kulipa Kodi Stahiki kuna Watanzania waliwasaidia kufanikisha hilo.
TUPE TAX ACCOUNT YAKO TUONE KODI ZAKO HALALI UNAZOLIPA
 
Back
Top Bottom