Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

It's because u are speaking from emotional perspective and I'm speaking from economical perspective.
Have a good time in your shop.
Good!
I can smell a statician from miles away!!
Economists are desk bound analysts, who do not have the slightest idea as to what is happening on the streets,
The Minister of Finance, an Economist I suppose, is on record as to not have the slightest idea as to why over 2,000 businesses went bust, and that was in January 2017.
Now this is September, consult your satistics, over 8,000 businesses have called it a day!
 
Ukweli ni upi mkuu!?
Wewe unafahamu ya kwamba kuna watu walikuwa wanaingiza 20ft container ambayo thamani ya mzigo ulio ndani kiuhalisia Kodi yake kwa mfano ilitakiwe ilipwe Tsh 22,000,000/- ...lakini wajanja hao walifanya manuva na ujanja huo mzigo unatoka kwa ushuru wa Tsh 6,000,000/-. Na bado anauza kwa faida kubwa sana. Au suala kama hili wewe unalizungumziaje?
Acha uongo. Kama huna taarifa sahihi bora unyamaze kimya. Kwa ulichoandika inadhihirisha kuwa upo kishabiki zaidi na huna uelewa wa masuala ya biashara.
 
Citizen news wameandika Acacia kupunguza wafanyakazi ni pigo kwa mabenki nchini maana.
 
Mkuu hili haliitaji magazeti ya nje.. Ni kwamba sector ya ujenzi imedolola sana....hii ni kwa sababu ya kiburi cha serikali kuchagua makampuni bila kufata sheria za utoaji tenda na hali ya uchimi kidolola....!! Wamiliki wa makampuni ya ujenzi hali ni mbaya ofisi zimefungwa no tender...kama uko kwenye sector hii utakubaliana na mimi.
Nakubaliana kabisa mkuu,wakandarasi wanaidai serikali matrilioni,imeshindwa kulipa kazi zimeshafanyika. Makambuni wanadaiwa mishahara,mikopo nk,
 
Zama za kuishi kimasikini kikipita watarudi wameenda nchi zingine
 
Acha uongo. Kama huna taarifa sahihi bora unyamaze kimya. Kwa ulichoandika inadhihirisha kuwa upo kishabiki zaidi na huna uelewa wa masuala ya biashara.
kuu kuna watu wa ajabu sana humu mtandaoni.
Waafurahia kufungwa biashara wakifikiri wanamkomoa mtu.
Halafu hawajui kuwa kodi za TRA zitapungua sana.
Kodi zikipungua itabidi serikali ichapishe noti muda si mrefu ili kulipa mishahara, madawa na shughuli muhimuza serikali.

Mwisho wa siku, believe me tutakuwa na inflation.
Hapo ndo watu wataanza kuelewa kinachoendelea.
 
Yule muwekezaji au duka, Try to differentiate between Investment and a general shop
Mkuu unaandika bila uelewa.
Yule alikuwa na kiwanda kule nyuma cha kutengeneza quality paving blocks.
Bei yake likuwa ya chin mji mzima, msiojua pengine hamuelewi hilo.
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P
Lile ni duka la familia, hivi kila mtu akielezea duka la familia kufa linamsaada gani? Duka la mimi, Baba, Mama na mlinzi mmoja na wafanyakazi wawili hivi kuna Multiplier effect gani kwenye Macro persperctive, Effect ya familia haituhusu kila mtu apambane na familia yake
 
Watanzania kubishana ndio mnachokiweza.
Sasa fanya juhudi nawe uanzishe duka na mkeo na watoto na walinzi wawili ili tupate kodi stahiki!!
 
Mh raisi anafanya kazi kubwa mno wanyonyaji wameanza kukimbia tumechoka kuibiwa na wageni nchi yetu n tajiri

kwaiyo mwakani we utaenda kufungua kiwanda pale, afu nawewe utakua mnyongaji..
 
Mkuu hili haliitaji magazeti ya nje.. Ni kwamba sector ya ujenzi imedolola sana....hii ni kwa sababu ya kiburi cha serikali kuchagua makampuni bila kufata sheria za utoaji tenda na hali ya uchimi kidolola....!! Wamiliki wa makampuni ya ujenzi hali ni mbaya ofisi zimefungwa no tender...kama uko kwenye sector hii utakubaliana na mimi.

mwenye mkoa wake anasimama na kusema kua kampunk flani haipewi kazi "nawaagiza wakurugenzi huyu skol msimpe kazi kwenye mkoa WANGU" sijui kifungu gani cha procurement anatumia yule bwana
 
Kama walikuwa wamezoea kufanya biashara kiujanja ujanja na kukwepa Kodi hayo ndio matokeo na madhara yake mkuu. Suala la msingi pia inabidi uelewe ya kwamba sekta ya ujenzi haiko vizuri kwa sasa. Sababu mafisadi yamesimamisha ujenzi na majizi yako chini ya ulinzi.
Endelea kuamini hivyo,mpaka siku likikukuta ndiyo utajua Kuku Kuku jogoo jina,labda utusaidie tusiojua,utajuaje? kuwa uchum umeyumba
 
Watanzania kubishana ndio mnachokiweza.
Sasa fanya juhudi nawe uanzishe duka na mkeo na watoto na walinzi wawili ili tupate kodi stahiki!!
Shame on you, Mimi huko Mbezi Beach huniambii kitu, Paving block mashine nenda veta hazifiki laki 5 anza kufyatua, Maisha ni yale yale labda kama ulijenga kwa semina na mikutano, Mlikuwa mnatumia kodi zetu hovyo, Hakuna kiwanda pale, Yule ana import tu, Bora hata FMJ hardware huko buguruni ameajiri watu wengi siyo huyo stone block
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P
Hahaa, nilikutana na the top high profile person aliyestaafu akasema sasa ameamini muda ni mwalimu mzuri. Akasema yule jamaa yako aliyekua one and only jewel wako ndani ya CCM bora angepita yeye kuliko huyu cha ubishi ambaye his personal status is far better than Tanzanians interests!

Safari bado tutaona mengi.
 
Jakaya aliwahi kusema Bungeni ukitaka kula lazima uliwe watu tukajua ni utani na Masihara yake ya Kipwani pwani
JPM anataka kula bila kuliwa, tujipange kwa Zahmatu Minal balaa linalokuja

Kina Jakaya na Mkapa walifanya kazi kubwa sana ya kutangaza Taifa letu nje ya Nchi na kuondoa dhana mbaya ya Nyerere ya kupora pora Mali za Wawekezaji lakin Huyu Bwana Mkubwa ndani ya Miaka miwili kanajisi kazi yote nzuri ya Watangulizi wake anataka kulirudisha Taifa kule kule kwny Azimio la Arusha
Huwezi linganisha mchunga ng'ombe na watoto wa mjini. Simply yule bwana ni mshamba kupindukia.

Ktk vitu ambavyo huwa namshukuru Mungu ni kukulia mjini hilo tuuu
 
Shame on you, Mimi huko Mbezi Beach huniambii kitu, Paving block mashine nenda veta hazifiki laki 5 anza kufyatua, Maisha ni yale yale labda kama ulijenga kwa semina na mikutano, Mlikuwa mnatumia kodi zetu hovyo, Hakuna kiwanda pale, Yule ana import tu, Bora hata FMJ hardware huko buguruni ameajiri watu wengi siyo huyo stone block
Kama unao uwezo huo soko lipo wazi, nenda na mashine
zako uka supply hapo Mbezi uzibe pengo la soko.
 
Back
Top Bottom