Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
unanutusi kuniita bavicha kwa umri wangu naweza hata kuwa baba yako futa hiyo kauli!Ni kwa sababu nyie bavicha kila kitu mnakitazama kila kitu katika miwani ya kiupinzani.
Duka likifungwa linabaki kuwa limefungwa, hata ukiwa macho kumchuzi litaendekea kuwa limefungwa.
Tutabishana SABABU ya kufunga biashara, baada ya kuwekeza.
Pengine hao wanaoondoka , kwa mantiki ya vichwa vyenu, mngependa kusikia tukisema wanaipenda sana Tanzania, na ndo maana wanaondoka!
Harafu mimi ni critical thinker sipo hovyo! a critical thinker is always 95% question marks, less than 5% cheering! And if you opt criticisms is always for a positive response while if you stick on cheering you will definitely endup a looser! I prefer criticisms than appraisal!!!