Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Sio kosa lako, kosa lako ni kuishi kijijini na kutokuwa na exposure ya maisha. Roho mbaya ya kumchukia kila mwenye fedha na kumuona mwizi ni dalili mbaya aka UCHAWI.. kama umeshindwa kutafuta hela sio ndio na wengine washindwe kuzitafuta mkuu.. Hujui uhalisia wa mtaani huku ulivyo kwa wale wahangaikaji, bila shaka wewe mzee wa mwisho wa mwezi aka Muajiriwa.. Fanya uchunguzi acha mapenzi ya siasa, sio kila mtanzania anauza chips au unataka watanzania wote wawe wauza chips ndio iwe furaha yako???
Kukujibu kiumbe kama wewe ni kupoteza muda na kunajisi utu na busara zangu.
Ila nimekubali kupoteza muda kwa kukujibu na kukuelewesha kuhusu maana ya neno METAPHOR ambalo nimetumia niki refer kwa wauza chips. Chukua kamusi angalia maana ya neno Metaphor. Ukielimika na hilo urudi hapa na hoja na sio vioja.
Pathetic Swine!
 
Very true Siyabonga ila bavicha watakuja na porojo zao wakati hiyo iko wazi watu walizoea kufanya biashara bila kulipa kodi halali inayotakiwa what do you expect?????WAONDOKE
Hili si suala la bavicha wala uvccm , ni suala la akili na biashara.
Kwa msimamo wako basi, nafikiri huwezi kujua kwa nini mashirika ya umma yalikufa!
Utakuja na maelezo rahisi rahisi na yasiyoenda shule , kama unayotoa.
 
Swali la msingi la kujiuliza hapa ni kwa nini kampuni kama NABAKI AFRIKA inaendelea na shughuli zake kama kawaida na kutoa huduma katika jamii!?
 
Mh raisi anafanya kazi kubwa mno wanyonyaji wameanza kukimbia tumechoka kuibiwa na wageni nchi yetu n tajiri
Halafu wanyonyaji wakishakimbia then? Nafikiri wewe ni bendera fuata upepo tu hujitambui mkuu
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P

Na hilo ni pigo kubwa sana, ukiingia nchi yoyote na ukaona hakuna massive constuction works (Towers, skyscrapers, Roads, dams na private residential building) basi hapo kitalaam wanasema uchumi umedumaa

Ke tumefikia hapo?
 
Hawa maturuki bahili kumbe...hawana closing sale? Watabeba kila kitu kurudi navyo Uturuki?
Ndio mawazo tegemezi ambayo lazima yapigwe vita.
Mtu kutegemea vya bure unaweza kuuza uhuru wako.
Kwa mawazo kama hayo mtoa posti akiwa TRA, NEMC,FIRE, Halmashauri, kila siku ndo zoa kuomba vibahasha tka kwa wawekezaji.
 
Jakaya aliwahi kusema Bungeni ukitaka kula lazima uliwe watu tukajua ni utani na Masihara yake ya Kipwani pwani
JPM anataka kula bila kuliwa, tujipange kwa Zahmatu Minal balaa linalokuja

Kina Jakaya na Mkapa walifanya kazi kubwa sana ya kutangaza Taifa letu nje ya Nchi na kuondoa dhana mbaya ya Nyerere ya kupora pora Mali za Wawekezaji lakin Huyu Bwana Mkubwa ndani ya Miaka miwili kanajisi kazi yote nzuri ya Watangulizi wake anataka kulirudisha Taifa kule kule kwny Azimio la Arusha
Mkuu, Maandishi huwa yananichanganya sana hadi kuwaza pengine ni wale jamaa wasiojulikana.
 
Kukujibu kiumbe kama wewe ni kupoteza muda na kunajisi utu na busara zangu.
Ila nimekubali kupoteza muda kwa kukujibu na kukuelewesha kuhusu maana ya neno METAPHOR ambalo nimetumia niki refer kwa wauza chips. Chukua kamusi angalia maana ya neno Metaphor. Ukielimika na hilo urudi hapa na hoja na sio vioja.
Pathetic Swine![/QUOTE

"Kama ulizoea ujanja ujanja awamu hii hautoboi mkuu. Ndio maana huwezi kusikia muuza chips (just a metaphor) akilalamika, kwa kuwa asilimia kubwa wanafanya biashara kwa hali yao inavyoruhusu."

Hicho hapo juu ndicho ulichocomment, Unajaribu kuhusisha hali halisi na ujanja ujanja.. Hali halisi iliyopo ni ujenzi kusimama sehemu nyingi kuanzia big constructions na nyumba binafsi za kuishi, Hali halisi iliyopo ni biashara kuwa ngumu kutokana na mzunguko hafifu wa hela mtaani.. Ukiwa muajiriwa huwezi kuelewa ninachozungumzia, mfanyabiasha anayeendesha maisha yake kwa kufanya biashara ndio anaona hiki tunachozungumzia hapa...
 

Samurai,
Kwanza, Jifunze jinsi ya kunukuu ili niweze kuelewa unachotaka kuniambia.
Pili, naona bado haujafahamu nini maana ya neno METAPHOR.
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P


SALUTE!!!!! my brother, ninachokupendea kwenye maslahi lazima utie neno.

Na neno huwa zito kweli kweli 🙂🙂🙂
 
Yawezekana walikuwa wanafanya biashara bila kulipa kodi sasa awamu hii hiyo ni ndoto...
 
Dah, hilo lilikuwa duka langu bora kwa upande wa tiles na paving blocks wakati najenga Kibanda changu Makonde, so Sad
 
Kama walikuwa wamezoea kufanya biashara kiujanja ujanja na kukwepa Kodi hayo ndio matokeo na madhara yake mkuu. Suala la msingi pia inabidi uelewe ya kwamba sekta ya ujenzi haiko vizuri kwa sasa. Sababu mafisadi yamesimamisha ujenzi na majizi yako chini ya ulinzi.
Hii ni roho ya kimaskini kufurahia wengine kufilisika na kujifariji eti ni majizi. Badilika
 
Ningeweza kuzirudisha siku ningeomba niamke mara paaap...jk rais
 
Jakaya aliwahi kusema Bungeni ukitaka kula lazima uliwe watu tukajua ni utani na Masihara yake ya Kipwani pwani
JPM anataka kula bila kuliwa, tujipange kwa Zahmatu Minal balaa linalokuja

Kina Jakaya na Mkapa walifanya kazi kubwa sana ya kutangaza Taifa letu nje ya Nchi na kuondoa dhana mbaya ya Nyerere ya kupora pora Mali za Wawekezaji lakin Huyu Bwana Mkubwa ndani ya Miaka miwili kanajisi kazi yote nzuri ya Watangulizi wake anataka kulirudisha Taifa kule kule kwny Azimio la Arusha
Kuna mtu anatumia user id yako sio bure
 
Haaa kufunga na kufungua biashara mbona ni mambo ya kawaida sana kwenye biashara?
 
Back
Top Bottom