Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,765
True! Ila lazima na inapendeza mamsapu avuke kabla yako then wewe umalizie,sidhani kama ni tatizo hilo kuchelewa. Au unapenda fasta?
Anyway..nimecheka sana! Its gud uwe na mtu anayependa upendavyo lasivyo mfundishane..
Unajuwa siri yao hao watu wanaopenda mambo ya kwenda chumvini? Yaani wakizeeka wanataka kuwahadithia wajukuu zao kama wamekula chumvi nyingi, tena za kila aina, kuanzia za uvinza, mpaka za bonde la ufa...!
Tena usishangae wake zao wasiweze pata ujauzito a.k.a mimba, unajuwa kwa nini, kwani unategemea nini unapokwenda uko chumvini si utakuwa unawala watoto wako mwenyewe kabla...!
Tena watu wa namna hiyo usishangae wakaota au kuwa na ndevu za kwenye meno, kwani unategemea nini kama shamba halija vunwa, nyasi na magugu hadi mlangoni, na wewe kwa kutaka kwako kwingi unapalilia na kulima kwa kutumia meno...! Ndo maana utakuta meno ya watu wengine yana rangi za ugoro, ulochanganyika na umanjano, kijani na weusi...!
Halafu wewe uogopi ukinuka mdomo je...! We zoea tu mambo hayo ya kuzamia, siku mkeo mjamzito na wewe umekazana tu kuramba ramba kama mbwa anakunywa maji, kama ukupigwa teke na jamaa aliye kuwa ndani ya tumbo, sijui utasemaje...! Au ukimnyofoa mguu kwa utamu wa chumvi...! Sijui utasema mtoto kapata polio au...?
Shauri yenu.
Hebu fikiria hali kama hii ya joto hapa bongo, omba usije ukakutana na kiumbe ambae sehemu hiyo haipitishwi maji kwa siku nzima, alikoga asubuhi akitoka nyumbani kwake. jioni mpo pamoja jollybar mkitoka hapo ni mambo ya( Honeymoon )sasa hiyo chumvi mnayoisema si ndio ile inayomfanya papa kugeuka nguru ?
Utajuwaje kama unapenda au hupendi kama hutojaribu?ujaribu kwanza halafu ndio utowe uwamuzi wako.[/Q It is beautiful it is lovely, it is sweet. Go and try . But try it to your lovely.
Utajuwaje kama unapenda au hupendi kama hutojaribu?ujaribu kwanza halafu ndio utowe uwamuzi wako.[/Q It is beautiful it is lovely, it is sweet. Go and try . But try it to your lovely.
Una maana gani unapoandika It is beautiful it is lovely, it is sweet. Go and try . But try it to your ,Baadhi yetu hii lugha ya kikoloni inatupiga chenga.
usichanganye maji na mafuta, mkuu. kila jambo lina nafasi yake. hili suala halina mwenyewe ndugu so ya ngoswe mwachie ngoswe. hii inaitwa kazi na dawa
hapana mkuu, nadhani kuwa uongo huuma zaidi. ila kama kuna usafi wa kutosha, waachie wapenzi wafanye kile roho inapenda. this is consistent with the Maslow's hierarchy of needs, and the being is dynamic always to the point of death. na imani pia huyu dynamic being ana mipaka na miiko. there are some things u cant stop them but this does not mean i am among those who do unstopable things
Sasa unasemaje?Mh! yangu macho
chumvini kubaya kwa afya japo watu wanaona raha.Sasa unasemaje?