and the fact is the flora which is harmless and protective in a particular area can be harmful(cause disease) when transferred to a new environment.Kwahiyo uwezekano wa kupata magonjwa kwa kwenda chumvini upo hata kama mwezi hana STIs.
Agree completely... but we should take consideration ya hali ya uvinza kabla ya kuanza ku-conclude. ni lazima maeneo yaandaliwe na upaliliaji na usafishaji shamba ufanyike.
the same opportunists can also be harmless if contained by body immune system, especially zymogens in the mouth that have proven to be very effective even for viruses. kwahiyo tusitishe saana kuhusu chumvini wakati kachumbari za kwetu zinaweza kuwa na hatari kuliko chumvini
Mmmh Mkuu p53 izo terms unazotumia mimi kwangu ni "MASHOGHOLO MAGENI"mkuu if shaving is what u mean ni kwamba pussy got flora whether hairy or not.
zymogens are very effective against microbes,mkuu zymogen gani hiyo?tena unasema inaua hata virus?utafiti wa wapi huo mkuu?zymogen is a proenzyme na proenzyme is inactive sasa inakuwaje effective tena?
labda unazungumzia lysozyme:an enzyme found in saliva(sweat,tears) which damages bacterial cellwalls.
Wadau chumvini kuzuri asikudanganye mtu ila sasa huko sio lazima uende kwa kila demu inabidi uzame kwa demu unayempenda wewe sio kila demu...
Mmmmmmh! Masa + Fidel + Yassin, naona issue ya UVINZA na mambo ya kuexpress yourself.......!!!!! hamjambo!
....
Mwisho Chumvini si mahali pa salama kabisana hapakuumbwa kwa kazi hiyo.Jitahidi kutumia viunga vya mwili kadri Mungu anavyotaka vitumie
Shukrani
maabukizi chunvini yapo tena sana
hasa ukikuta binti ana fangas,wengi waeharibika midomo kwa kuzama huko,na ukizama uvinza lazima uta express yourself ( tigo nayo utalamba)
Burn,
Mara ya mwisho tulikusihi ubadili Avatar yako ukakataa Admin wakaibadili kwa nguvu!
Ukaweka mbaya tena wakaiondoa tena!
sasa umeweka mbaya tena!
Kiungwana basi ibadili tafadhali..au turiporti tena kwa Adm.
Haina haja kuwasumbua Adm. kila mara kwa vitu kama hivi!
Swadakta.hiyo ndo ladha na maana ya kuingia chumvini.
tuliozoea kula haramu tuachwe tutafune tu maana ladha yake twaijua wenyewe.