Naomba nitumie nafasi hii kuongelea MTAZAMO wangu juu ya kuzaliwa kwa mwanadamu.
Mie naamini kuwa mwanadamu katika uhai wake huendelea kuzaliwa. Mara ngapi anazaliwa upya na ni vitu ama watu gani wanachangia kwa kuendelea kwa kuzaliwa mtu huyo kunapishana. The more mwanadamu anazaliwa katika maisha yake, the more busara na hekima hukua ama kudidimia na kumfanya awe tofauti zaidi. Hutofauti huo kwa bahati mbaya ama nzuri unaweza kuwa kwa uzuri ama kwa ubaya tokana na the Choices we make…
Kuzaliwa upya huja pale ambapo kuna kitu ama tukio ambalo linakuwa limekugusa mno iwe kwa uzuri ama kwa ubaya kiasi kwamba hicho kitu ama hilo tukio likakubadilisha kabisa katika vitu msingi vikufafanuavyo – Iwe Msimamo /Fikra/Mtazamo/Amani ama Imani.
Hapa umeniacha hoi AshaDii... Hata kuvunja ungo nako ni kuzaliwa?!!! Sasa kwa mwaka unasherekea happy birthday ngapi?
My message is if you were born of flesh then incosenquential spectacles in your life will be glorified by all who are of the flesh but if you were born of the Spirit you will despise the things of the flesh be the lust of the eye, the last of the flesh and the pride of life because they are passing pleasures of sin ..................and before you know it they will disappear like vapour, following your death - of course -there will be nothing to be proud of except a fearful expectation of judgment!
Rutashubanyuma... Thanks so much for your message. A message which greatly underlies your belief and faith. Of which according to you and others may be absolute Fact but unfortunately not Universally held. Pamoja Saana.
Hope sijachelewa dada maana nilikuwa huko Vijijini kuangalia wananchi wenzangu wanavyoijenga nchi kwa KILIMO KWANZA.
HAPPY BIRTHDAY AshaDii
Rutashubanyuma... Nimekusoma rafiki.
Hivi kaka hawezi kuwa rafiki :glasses-nerdy:
Haya nimekusoma kaka... 🙂
Happy Birthday AshaDii
Hii sred sikuiona kwa nini?