Kuzalia Marekani

ukisoma kitabu cha RUTH kwenye BIBLIA, utaona jinsi gani watu tunavyo pigwa upofu na kuondoka katika nchi iliyobarikiwa na kukimbilia utumwani.....MWENYE ENZI MUNGU atuongoze milele yote

Alafu watu hao hap baadae wanakuja na threads kuwa wazungu wanatubagua sana.....
 

Wewe kweli punguani, unaliona hilo hivi karibuni? Mbona lipo miaka nenda miaka rudi. Labda ulimbukeni tu ulikufanya usilione hilo.

Sasa wtf is the issue here? Wewe ulienda kubeba boksi huko ukubwani haikuwa issue, wenzako waliona mbali siku nyingi wanaenda kuzalia huko kabla ya wewe kuzaliwa kwa kuwa umelijuwa hivi karibuni unaona imekuwa ni issue!

Hakika kwa watu kama wewe Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 

Ajuza naona una hamu na mboli ya Kisukuma eeh?

Haya kaoge ujifukizie na udi halafu uje, sawa?
 
America was a land of opportunity in 60's to early 90's

Kwa sasa dunia imekuwa kijiji na hizo opportunities zipo kila sehemu kwa sasa, lakini inategemea sana akili yako au ya washauri wako inafanya kazi kwa kiwango kipi.

Maisha bora yana tafsiri nyingi tofauti.
Wamarekani walifanikiwa/wanafanikiwa sana ku- brainwash watu wengi duniani kwa kuwaaminisha kuwa USA ndio kilakitu,
 

Hawana imani na wanakoishi. Kila mzazi hutamani mtoto wake akue na maisha mazuri. Sas mtu na mipango yak kulingana na uelewa na uwezo wake!.
 
Ajuza naona una hamu na mboli ya Kisukuma eeh?

Haya kaoge ujifukizie na udi halafu uje, sawa?
Uwezo huo huna, wewe mwenyewe mtoto wa watu huko. Ungeweza usingekuja jf kulalamika kuwa mwanamke kakukimbia.
 

Makaratasi hayo yanawasumbua na Social security no. Nisichoelewa ni je, hao watoto wataweza ku afford hayo maisha ya US?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…