Kuwepo kwa Derby ya Simba na Yanga

Kuwepo kwa Derby ya Simba na Yanga

Una akili ndogo sana

El Clasico ni match ya wababe wa kwenye hiyo michuano japo hili neno limezoeleka kwa timu za Barca vs Madrid. Yaan El Clasico yaan Kwa kingereza unaeza " THE CLASSIC MATCH " ...MECHI YA KIWANGO CHA JUU

Derby ni mechi ya timu za eneo moja kwenye ligi ya nchi husika mf Liver vs Everton au Yanga vs KCMC au Simba vs Azam au Juventus vs Torino

BARCA inatokea Catalunya na Real Madrid inatokea Madrid , hawawez kuwa na Derby maan hawatokei eneo moja ndani ya Hispania
Unafaa kuwa mwalimu!
 
Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile vile Derby ya Celtic na Rangers ilitokea kwa sababu za kidini, pia kuna sababu kama kigeografia n.k Je unajua Derby ya Simba na Yanga ilidababishwa na nini? Na imekuzwa na kitu gani?
Nitataja sababu kadhaa , legend mtaongezea
1. Eneo , zote zinatoka eneo moja hivyo kupelekea kuibuka kwa upinzani mkali
2. Siasa Ya rangi CCM VS Chadema (sio sababu ya moja kwa moja)
3. Wachezaji, Juma kaseja , Emanuel Okwi, Mbuyu Twite, mtaongeza wachezaji wengine, sababu hii nikuwa kunyang'anyana wachezaji au mchezaji mzuri kutoka.huku kwenda kule kunachochea uhasama
4. Matajiri GSM Vs MO , na hapa panaongeza upinzani mkali.

5. Matokeo

NB derby inaweza kufa kama hakuna vichochezi vya upinzani au inaweza kupoa kabisa. Hasa kama timu moja itakuwa mnyonge kwa muda mrefu
Derby ya Kariakoo imekuwapo siku nyingi sana kabla hata CHADEMA na hao wachezaji uliowataja hawajazaliiwa; inawezekana na wewe ulikuwa haujazaliwa. Mwanzoni ilikuwa Cosmopolitan (Cosmo) na Yanga ila baadaye nafasi ya Cosmo ikachukuliwa na Sunderland ambao ndiyo baadaye walibadili jina na kuwa Simba; nadhani mwaka 1972 .
 
N

Hapo nimetaja sababu za kuanzisha na kukuza kwa pamoja mkuu, matukio yote hayo yanaleta hamsha hamsha
 
Una akili ndogo sana

El Clasico ni match ya wababe wa kwenye hiyo michuano japo hili neno limezoeleka kwa timu za Barca vs Madrid. Yaan El Clasico yaan Kwa kingereza unaeza " THE CLASSIC MATCH " ...MECHI YA KIWANGO CHA JUU

Derby ni mechi ya timu za eneo moja kwenye ligi ya nchi husika mf Liver vs Everton au Yanga vs KCMC au Simba vs Azam au Juventus vs Torino

BARCA inatokea Catalunya na Real Madrid inatokea Madrid , hawawez kuwa na Derby maan hawatokei eneo moja ndani ya Hispania
We jamaa mpuuzi kweli aliyekuambia Derby ni lazima timu zitoke sehemu moja ninani? Haya Derby ya Manchester united na Liverpool zinatoka sehemu moja? Hilo jina ni jina ililopewa hiyo Derby kama ilivyopewa Mashemeji Gormahia Vs Af leopard au watani Simba Vs Yanga lakini kwavile umekaza ubongo hutaelewa. El clasico ni Derby namba 1 Bora duniani
 
Brazil kuna Derby Corithians Vs Sao Paulo hii derby ni lazima wachapane makonde yani ni lazima.

Argentina derby Boca juniors Vs River plate.
hii👆 kabla siku ya mechi watu kutoka maeneo tofauti huwa wanakusanyika kwanza kula bata wiki nzima alafu siku ya mechi wanaingia uwanjani wakiwa full ugimbi.
 
El CLASICO sio derby kijana.kuropoka maneno yasiyo na staha hakukufanyi kuwa sahihi! Wale ni RIVALS tu ambao mechi yao ni ya hadhi ya juu duniani.
Sasa wewe ndio mjinga wa mwisho aliyekuambia kuna Rivals bila Derby ninani?
 
Brazil kuna Derby Corithians Vs Sao Paulo hii derby ni lazima wachapane makonde yani ni lazima.

Argentina derby Boca juniors Vs River plate.
hii👆 kabla siku ya mechi watu kutoka maeneo tofauti huwa wanakusanyika kwanza kula bata wiki nzima alafu siku ya mechi wanaingia uwanjani wakiwa full ugimbi.
Hii ndio Derby sasa🤣 vita vita
 
Derby ya Simba na Yanga ikianza kupoa lazima tuliamshe 😂🤣
 
We jamaa mpuuzi kweli aliyekuambia Derby ni lazima timu zitoke sehemu moja ninani? Haya Derby ya Manchester united na Liverpool zinatoka sehemu moja? Hilo jina ni jina ililopewa hiyo Derby kama ilivyopewa Mashemeji Gormahia Vs Af leopard au watani Simba Vs Yanga lakini kwavile umekaza ubongo hutaelewa. El clasico ni Derby namba 1 Bora duniani
Hapo derby ni Man City Vs Man Utd a.k.a wazee wa kuchapika.

Liverkuku Vs Everton.
 
"The classic"... Real Madrid vs Barcelona.

Derby... Real Mad vs At Mad
Espanol vs Barcelona
Sevilla vs Real Betis....
Hata simba na yanga sio Derby ni watani wa jadi
Gormahia na Fc leopard sio Derby ni Mashameji 🤪🤪 we jamaa fala kweli
 
Una akili ndogo sana

El Clasico ni match ya wababe wa kwenye hiyo michuano japo hili neno limezoeleka kwa timu za Barca vs Madrid. Yaan El Clasico yaan Kwa kingereza unaeza " THE CLASSIC MATCH " ...MECHI YA KIWANGO CHA JUU

Derby ni mechi ya timu za eneo moja kwenye ligi ya nchi husika mf Liver vs Everton au Yanga vs KCMC au Simba vs Azam au Juventus vs Torino

BARCA inatokea Catalunya na Real Madrid inatokea Madrid , hawawez kuwa na Derby maan hawatokei eneo moja ndani ya Hispania
Derby sio mpaka teams zitokee sehemu 1 kijiografia
Mfano match ya
Ahly vs Mamelod
Inautwa the continental derby

Kuna derby
Liverpool vs Manchester united
 
Bora mkuu wewe unajua. Watu hawajui Hata Dini inaweza kutengeneza Derby , mfano ya Celtic

Na sio clab tu hata mataifa ila sio sana
 
Derby sio mpaka teams zitokee sehemu 1 kijiografia
Mfano match ya
Ahly vs Mamelod
Inautwa the continental derby

Kuna derby
Liverpool vs Manchester united
Continental derby sio kwa club ni kwa timu za taifa,mfano Brasil Vs Argentina.
,,,,,,,Au nchi yako ya Burundi Vs Rwanda.👈😅
 
Nimekwambia upinzani wa clubs za Ahly na Mamelod Sasa umeleta continental derby
Ndo mechi kubwa barani Africa Kwa ngazi ya vilabu
 
Kwani Derby ni mechi ndogo mkuu? Sifa mojawapo ya Derby ni mechi kubwa, mashabiki wengi , uhasama , mechi ngumu, matokeo hayatabiriki , hizi ndio sifa za mchezo wa Derby ukichezwa
Nimekwambia upinzani wa clubs za Ahly na Mamelod Sasa umeleta continental derby
Ndo mechi kubwa barani Africa Kwa ngazi ya vilabu
 
Sasa wewe ndio mjinga wa mwisho aliyekuambia kuna Rivals bila Derby ninani?
Ni joto tu la homa ya u-muchknow limekupanda,ndio maana hujui kuwa unachekesha watu,kwa kusema LIVER vs MAN U ni Derby!
utajibaraguza baraguza ila mpaka hapa umeshajifunza na umezijua derbies japo kwa uchache!
 
Ni joto tu la homa ya u-muchknow limekupanda,ndio maana hujui kuwa unachekesha watu,kwa kusema LIVER vs MAN U ni Derby!
utajibaraguza baraguza ila mpaka hapa umeshajifunza na umezijua derby japo kwa uchache!
Unafikiri Derby inaamuliwa na mtu mmoja? Kwamba wewe utoke huko yombo Dovya useme mchezo fulani ni Derby au sio Derby na watu wakusikilize?
 
Back
Top Bottom