SIMBA VS YANGA: Nani ataodoka na ngao ya jamii?

SIMBA VS YANGA: Nani ataodoka na ngao ya jamii?

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
439
Reaction score
1,067
Tarehe 12 Agosti, macho ya mashabiki wa soka Tanzania yataelekezwa Amaan Stadium, Zanzibar, ambapo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Hii si mechi ya kawaida.

Ni Derby ya Kariakoo, na kila upande unaingia uwanjani ukiwa na presha ya kutaka kuanza msimu kwa ushindi dhidi ya mpinzani wake mkubwa.


SaveClip.App_772510568_18434764261135476_1309756670343755745_n.jpg

SaveClip.App_769427913_18581648503071034_6357149969580616977_n.jpg
 
Mpira wa Tanzania umeshakuwa wa hovyo sana, hii siku hizi kupeleka peleka mechi za timu za Simba na Yanga Zanzibar maana yake nini mbona wao timu zao haziji kucheza huku Tanganyika.
 
Back
Top Bottom