Kuwepo kwa Derby ya Simba na Yanga

Kuwepo kwa Derby ya Simba na Yanga

Kwani Derby ni mechi ndogo mkuu? Sifa mojawapo ya Derby ni mechi kubwa, mashabiki wengi , uhasama , mechi ngumu, matokeo hayatabiriki , hizi ndio sifa za mchezo wa Derby ukichezwa
Na Mimi namaanisha hicho ulichoandika
Napinga kuwa derby ni ya mechi ya timu zinazotoka sehemu 1 kijiografia

Nimewapa mifano kuwa mechi ya
Man u vs Liverpool
Ni kubwa kuzidi
Man city vs man u
 
Na Mimi namaanisha hicho ulichoandika
Napinga kuwa derby ni ya mechi ya timu zinazotoka sehemu 1 kijiografia

Nimewapa mifano kuwa mechi ya
Man u vs Liverpool
Ni kubwa kuzidi
Man city vs man u
Upo sawa mkuu Derby sio lazima zitoke sehemu moja au jiji moja , ndio.maana hakuna Derby ya yanga na Abajaro , japo zote ni za Dar es salaam
 
Sasa hiyo Derby ya man U na liverpool inatakiwa ikolezwe na wachezaji wakali kutoka timu zote mbili , wakikutana Moto uwake 🤣 Derby haitakagi unyonge
 
Katika mpira wa miguu, neno derby linamaanisha mechi kati ya timu mbili zinazotoka katika eneo moja au zina uhasama wa kihistoria. Mechi hizi mara nyingi huwa na ushindani mkubwa kwa sababu ya hisia za mashabiki, historia ya timu, na mara nyingi utamaduni wa eneo husika.

Aina za Derby:
[emoji736] Local Derby – Timu mbili kutoka mji au jiji moja, kama Kariakoo Derby kati ya Simba SC na Yanga SC
[emoji736] National Derby – Mechi ya uhasama mkubwa katika taifa moja, kama El Clásicobkati ya Barcelona na Real Madrid.
[emoji736] Regional Derby – Mechi ya timu mbili kutoka nchi jirani, kama East African Derbykati ya Simba SC na Gor Mahia
[emoji736] Historic Rivalry Derby– Timu zinazohasimiana kutokana na historia, kama Manchester Derby kati ya Man United na Man City

Mechi za derby mara nyingi hujawa na tensi kubwa, mashabiki wenye hisia kali, na hata mzozo wa kisiasa au kijamii, Ndiyo maana hupewa uzito wa kipekee katika soka.
 
Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile vile Derby ya Celtic na Rangers ilitokea kwa sababu za kidini, pia kuna sababu kama kigeografia n.k Je unajua Derby ya Simba na Yanga ilidababishwa na nini? Na imekuzwa na kitu gani?
Nitataja sababu kadhaa , legend mtaongezea
1. Eneo , zote zinatoka eneo moja hivyo kupelekea kuibuka kwa upinzani mkali
2. Siasa Ya rangi CCM VS Chadema (sio sababu ya moja kwa moja)
3. Wachezaji, Juma kaseja , Emanuel Okwi, Mbuyu Twite, mtaongeza wachezaji wengine, sababu hii nikuwa kunyang'anyana wachezaji au mchezaji mzuri kutoka.huku kwenda kule kunachochea uhasama
4. Matajiri GSM Vs MO , na hapa panaongeza upinzani mkali.

5. Matokeo

NB derby inaweza kufa kama hakuna vichochezi vya upinzani au inaweza kupoa kabisa. Hasa kama timu moja itakuwa mnyonge kwa muda mrefu
Watoto wa 2000 bana!!..derby miaka ya 70,80,90 ilikua nzito kuliko leo, palikua na ccm na chadema!?kasema,gsm,mo!?..na unaamini el classico ni derby iliyokolezwa na messi na Ronaldo!?..mkishiba mnakuja kujambajamba tu jukwaani!!
 
Watoto wa 2000 bana!!..derby miaka ya 70,80,90 ilikua nzito kuliko leo, palikua na ccm na chadema!?kasema,gsm,mo!?..na unaamini el classico ni derby iliyokolezwa na messi na Ronaldo!?..mkishiba mnakuja kujambajamba tu jukwaani!!
Jifunze zaidi mkuu acha mihemko
 
Onesha wap wamewai ita Derby hiyo mechi ya Man utd vs Liverpool

Moderators tutoleeni wehu hawa , mtu hata kugoogle haez duh!
We jamaa mpuuzi kweli aliyekuambia Derby ni lazima timu zitoke sehemu moja ninani? Haya Derby ya Manchester united na Liverpool zinatoka sehemu moja? Hilo jina ni jina ililopewa hiyo Derby kama ilivyopewa Mashemeji Gormahia Vs Af leopard au watani Simba Vs Yanga lakini kwavile umekaza ubongo hutaelewa. El clasico ni Derby namba 1 Bora duniani
 
Back
Top Bottom