Wakuu Mlalahai na mwenzako Fidel80 eeeh,
Nadhani wengi hatuna bifu na huyu premier social political-thinker wa cyberspace ya Tanzania, Mzee Mwanakijiji, lakini hamuoni kwamba haipendezi mkianza kutumia jamvi moja ku advertise la mwingine ? Na hata kama hamkujua taratibu zozote zinazokataza hilo, nyinyi kwa muono wemu mnaona hiyo ni poa kweli? Linaingia akilini hilo ?
Ni kweli JF wamesema hawaogopi competition lakini hata kampuni ya chupa ya kibongo ya Fahari Bottlers ikianza kutengeneza soda zake zenyewe halafu ikawa inatumia nembo za Coca-Cola hawata maindiwa, japokuwa ki-bajeti cha mwaka mzima cha Fahari Bottlers ni mchango wa siku moja wa Coca-Cola katika kuboresha mazingira ? Hebu tafakarini kidogo hapo.
Halafu ningekuwa mimi ningepeleka hivyo vi shenanigans kwenye Private Messages. Mmewahi kuisikia hiyo feature ?
Nimekupata Mkuu.I didn't mean kugeuza huu kuwa uwanja wa matangazo lakini nilihisi kwamba fidel alikuwa anahitaji website ya mwanakiji sio kwa minajili ya kutukimbia hapa bali kupata updates za topic hii.Of course,ningeweza kumfahamisha hilo kwa PM lakini sikuona ubaya wa kufanya hilo hapa.
Sorry if I offended you,or JF for that matter.Siwezi kukata tawi nalokalia,trust me!
- Habari hii haikuwa sawa, ndio kwanza tumemaliza kuongea na mzee Warioba yupo nyumbani kwake, lakini ana wasi wasi kwamba kuna ukweli ndani yake,
- The dataz ni kwamba kuna somebody big, ambaye ame-delay the process lakini leo walikuwa watinge,
Samahani nimeomba mtandao a mtu tu sina access, lakini baadaye nitarudi na the dataz za shouting match kati ya muungwana na mkapa recently ambacho kinaaminiwa kuwa ndio chanzo cha kamata kamata......!
Ahsante Wakuu Later!

Utupe pia ile ya ugomvi wao mpaka mkapa akapigwa na kiti kule ikulu akaumia mguu mwaka juzi

Hahahaha....vipi huo mguu alioumia walimfunga POP?Utupe pia ile ya ugomvi wao mpaka mkapa akapigwa na kiti kule ikulu akaumia mguu mwaka juzi
Mmmmmh! shy huo ugomvi wa mapenzi sisi hautuhusu, labda tuwaulize Mama Anna Mkapa, na Rita Mlaki ndio wanaju kiundani juu ya ugomvi ule.
lol