Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Wajameni,nipo kisutu mbona ssioni kitu au changa la macho nini?
Mkuu heabu angalia vizuri,usinipandishe hasira kwa mara nyingine
Wajameni,nipo kisutu mbona ssioni kitu au changa la macho nini?
naona Kikwete kaamua kujilipua, kweli usicheze na mjahidina
but you got the point as to who yona and mramba are,didnt you?ohhh,i forgot you're yona (maro) too!my bad.
Anyway jokes aside,mzee wa breaking news shy,tupatie the latest basi.
Stay tuned mzee wa DATAZ FMES atakuleteeeni zinazojiri from kitchen maana bado anaendelea kukusanya mambo
Too bad Mwanakijiji hazipati hizi...
Wapendwa wana JF, naomba mwenye copy ya hotuba ya rais wakati wa kufungua bunge aiweke hapa... haya yote yalitabiriwa if you read that speech between the lines. Aliwaonya viongozi wenzake, akasema wasimuone ancheka ana msimamo na pia aliwaambia tusije laumiana mbele ya safari. Tatizo lililokuwepo ni kwamba wananchi tunataka mambo haraka haraka bila umakini.. mwenzetu JK ana utulivu .. ndio ametuacha tuchonge wewe halafu ndio papu anafanya mambo... pesa za EPA karudisha na sasa wote waliorudisha na ambao hawajarudisha rupango... soma Guardin ya leo kuna mahojiano ya Mkurugenzi wa Mashitaka.. Cha msingi sasa hivi ni kumuunga mkono sio kushangaa.. JK has proved evry one f us very very wrong

mkuu fmes upo wapi???
Njoo utupe data angalau kiduchu watu tusuuzike mioyo yetu maana tumekaa tuned hapa lakini hakuna habari nzuri.
Mwenzenu sielewi mzee WARIOBA amekuwaje maana mie huwa namuona ni mtu safi tena anapiga vita rushwa na uozo wote wa chama tawala?!
Duh,Sasa ishu ya Warioba hapo ni ipi?
Duh,
Nimetoka kidogo nikakuta topic ishaniacha.
Nimeongea na Mzee Warioba anadai yeye yuko OK.
Lakini nikaongea na watu pale Mahakamani Kisutu wanachonifahamisha ni kuwa mahakamani hakuna shughuli YOYOTE inayoendelea (kitu ambacho si cha kawaida) na kuna uwezekano mkubwa kuna watu wakubwa watafikishwa. Tusubiri tuone,,, wale walio mjini ni vigumu (kwa sasa) kujua kinachoendelea... Labda kama mna watu ndani ya TISS wawahabarishe

by the way nimepitia sources mbali mbali naona JF iko mstarui wa mbele kwenye breaking news
sad kule MWANAKIJIJI dot com naona kumedoda ile mbaya
watu wamegoma kujisajjili
hakuna breaking news zozote zile
hakuna maendeleo yoyote ile
kila mtu kawa ngangari na kangangania hiya hiya JF
NA NZURI ZAIDI fmes IS BACK
WHAT MORE CAN WE ASK FOR?
Mkuu naomba website ya MWANAKIJIJI.