Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kuna taarifa ambazo nimepata sasa hivi kuwa Karamagi (tayari), Rostam Aziz, Meghji na Warioba (hawa wako njiani) watasomewa mashtaka leo.

Stay tuned
 
Last edited by a moderator:
Duh mkuu nakwaminia kwa hiyo wamesha fika Kisutu niwahi?
Hapo moto sasa umewaka hata Warioba duh kweli TZ imekwisha.
Ngoja twendelee kutengeneza vizuri anterna zetu zinyake vizuri.
 
Hayawi hayawi sasa yametimia!na bado MUNGU uwape ujasiri DPP feleshi na wenzake wa kutokuogopa mtu awae yote!
 
Sasa Mkapa,Apson na Kingunge twawataka.Lowassa pia tunamuhitaji maanke kama kesi ya Mramba ni kutumia madaraka vibaya,basi lowassa ashtakiwe kwa kutumia madaraka vibaya na uzembe akiwa ofisini huku akilisababishia taifa hasara
 
Mkuu mlioko bongo endeleeni kutuhabarisha basi je wakulu hawa kweli wametinga mahakamani?
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kuwa Karamagi tayari kishasomewa mashtaka, endapo kutakuwa na zaidi tutawahabarisha.

Tunatambua kuwa system iko slow sasa hivi na tunafanyia kazi suala hili...
 
Mlioko City center changamkeni mtujuze. Si mwajuwa kuwa JF is always first?
 
Hapo patamu kweli kama Kagoda(RA) naye yupo leo
Wajue kupata uongozi ni dhamana si sababu ya kujilimbikizia na kuwa Miungu watu.
 
Kuna taarifa ambazo nimepata sasa hivi kuwa Karamagi (tayari), Rostam Aziz, Meghji na Warioba (hawa wako njiani) watasomewa mashtaka leo.

Stay tuned


asante kwa taarifa mkuu ila leo ni shida sana kupata JF na trafic sio kubwa kulikoni mkuuu
 
Mwenzenu sielewi mzee WARIOBA amekuwaje maana mie huwa namuona ni mtu safi tena anapiga vita rushwa na uozo wote wa chama tawala?!:eek:
 
Last edited by a moderator:
bALAA SANA HAPO WARIOBA NI MWENYEKITI WA BOARD YA MEREMETA AU TANGOLD???
 
Stay tuned mzee wa DATAZ FMES atakuleteeeni zinazojiri from kitchen maana bado anaendelea kukusanya mambo

Too bad Mwanakijiji hazipati hizi...
 
Stay tuned mzee wa DATAZ FMES atakuleteeeni zinazojiri from kitchen maana bado anaendelea kukusanya mambo

Too bad Mwanakijiji hazipati hizi...

Mkuu GT,

Vipi? hizi ishu nyingine kamalizie kule ulikoanzishia thread yako.Hapa tuko serious na Bussines mkuu.

Dah,Ila kweli FMES amepotea kinaoma,nammiss sana kwenye hili soo la hawa wezi.

Btw. Warioba inamaana alikua anapiga kelele huku akijua amebakisha kiduchu au ni vipi yaani? Lowassa inabidi awe njiani kesho
 
Stay tuned mzee wa DATAZ FMES atakuleteeeni zinazojiri from kitchen maana bado anaendelea kukusanya mambo

Too bad Mwanakijiji hazipati hizi...

Utachanganyikiwa muda sio mrefu.

Na sio vyema kuwatoa watu kwenye kitu wanachokiangalia kwa makini, hii thread ni ya Karamagi, Rostam na Warioba, GT na MMM wanafikaje hapa?
 
Back
Top Bottom