Kuwafanyia watoto DNA test

ha ha ha ha ha ha ha!
nguli hii thread utairusha lini?

Nashindwa kwa vile nimegundua inahusisha rafiki zangu wa karibu sana humu JF na hata legends nitakuwa najipenda kweli mwenye ubavu aanzishe naweza lowanishwa na ban mwisho wa mwaka huu.
 
Mkuu, naomba nikupe changamoto mazee
hivi ukingangania huko nyuma tutafika?
kumbuka DNA is beyond paternity and it has more important values especially on treatment, prevention and forensic
i would rather live in the worl of true people hata kama ni kwa DNA kuliko kutetea uongo simply because wa kale walisema

we contradict ourselves alot, yaani mtu anabelieve in thruths but he/she doesnt want the truth

hakuna kitu kibaya kama living a lie, and DNA to some extent reduce that problem

HIvi DNA ni haramu?

Ndugu yangu MTM, hakuna anayebisha kuwa vipimo vya DNA ni vizuri sana na muhimu katika maisha ya siku hizi. Kwa maana hiyo hatupingani na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Bali tunapingana na sababu unazojaribu kutueleza kuwa zinaweza kukufanya ukapime DNA kwa ajili kujua kama watoto unaolea ni wako. Nilishakueleza sababu zinazoweza kusababisha wanandoa wakapime DNA ya watoto eg kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kama uko Tz. Je wewe una mojawapo kati ya hizo? Kung'ang'ania kupima bila sababu inayomshawishi mwenzio ni kufanya jaribio la kuvunja ndoa. Kama uko tayari kwa hilo endelea tu, utakuja tujuvya baadaye. Hata hivyo tumejitahidi kutimiza wajibu wetu wa kukushauri na kuelimishana! Kila la heri ndugu!
 
DC, tuko pamoja sana tu

kama umesoma mada nzima na hoja zangu, utakubali kwamba all these discussions were based on a night out where couples discussed alot including DNA.

Nimeangalia pande zote na bado nimebaki na yafuatayo

  • MOst of us dont have the priviledge ya kuijua faida na athari za DNA kiundani
  • DNA haipendwi zaidi na akina mama kutokana na taarifa nusunusu zinatoenezwa hasa kuhusu partenity tests
  • Kuna alot of social and moral issues to be addressed kabla mtu hajapima NDA iwapo lengo ni ku-confirm partenity
  • There is a lot of secrecy in our families as we speak ndio maana DNA inaonekana kama a can of worms na haitakiwi kufunguliwa unneccesarily
  • Pia inaonekana suala la DNA ni beyond trust; zaidi nilichopata hapa ni kwamba we are not being honest with our partners kwani wengi wa wanaume wanawish kufanya (sina source) lakini wanaona kama taboo... we need to live in an open world ili kupambana na ukuaji wa sayansi at the same time tunajenga moral responsibilities

In short ni kwamba there is alot on partenity kuliko DNA testing kwa mtoto. Sina hakika kama ntachukua route ipi lakini bado naamini testing is very important socially and scientifically, and NOT testing is important socially and morally (but which morals are we protecting?)

Thanks wakuu
 
kwa sasa DNA inatakiwa kupimwa kwa kibali cha mahakama tu, hapo utaona kuwa walio wengi wamebambikiziwa, na serikali haitaki watu wauane maana wanajua ukweli wa suala hili, uaminifu haupo kwa %kubwa,

nashauri tuachane na vipimo hivi tunaweza kujitia kitanzi au kufariki kabla ya wakati, au tunaweza kuua watoto au mama zao au huyo muhusika wa hiyo mimba.
 
Kumwambia mwanamke tumpime mtoto DNA ni sawa na kumuuliza kama mimba aliyo nayo ni yakwako kweli.

Mi nashauri kma hutaki kununiwa sisitiza kupima 2 iwapo...
1. Unajua kwa uhakika kua mambo yako sio(huna uwezo)
2. Kama ulikua mbali na mamsapu wako ndani ya miezi mitatu mimba ilipotungwa.(Kwa kutumia ultrasound unaweza kujua lini mimba ilitungwa...)
3. Kama during that time hukua na mahusiano mazuri na mamsapu wako cz kuna uwezekano alipata comfort somewhere else.
Hongera kwa babyboy. Hope baba watoto hajaanzisha habari ya DNA:rolleyes:
 
Hawa watu wanaitwa wanakwaya we waache tu! Mi wafu ni heri awe baamedi kuliko mwanakwaya! Wanatafunana hawa watu kama hawana akili timamu. Nilikuwa nabisha kipindi cha nyuma. Nikaamua kujiunga na kwaya kwa ajili ya kuiboresha sauti ya nne kwenye kwaya! LOL! Mi mwenyewe nakumbuka nilimegana na wanne kabla sijajua kati ya hao wa4 watatu walikuwa wanamegwa na kwaya masta na huyo mmoja nilikuwa nashea na mpiga kinanda! Hahaha! Nikaamua kuacha kwaya wansi and fo ol. Na waifu ambaye naye nilimpatia kwenye hiyo kwaya naye nikampiga ban (sore, waifu hakumegwa na mtu pale: Sitaki comments)

Mi namjua wyf wako, si alikuwa anaimba sauti ya pili? ila ni kweli wyfe wako hakumegwa na yeyote kwenye kwaya, ila alikuwa anamegwa na mfadhili wa ile kwaya, ushawahi jiuliza kwanini mshikaji aliamua kujitolea kuifadhili kwaya na ni lini? muulize mkeo vizuri
 
[/COLOR][/I][/B]

Mh, mazee.... mbona unaingia ndani sana?

Kumbuka its easier kusema kuhusu jambo:p

I have learnt alot on how people perceive DNA
 
Dna ni nzuri....but..
Hebu fikiria kuwa una watoto wanne
unapima dna unakuta wote si wako..
Je utajisikiaje?
Huoni kuwa ni uthibitisho pia kuwa
wewe una kasoro?
Watu watakuelewa vipi
ukitangaza matokeo?
 
Dna ni nzuri....but..
Hebu fikiria kuwa una watoto wanne
unapima dna unakuta wote si wako..
Je utajisikiaje?
Huoni kuwa ni uthibitisho pia kuwa
wewe una kasoro?
Watu watakuelewa vipi
ukitangaza matokeo?

...mnh, kwa hali hiyo kasoro yenyewe wala si ndogo!
 
Wakuu, juzi katika vikao vyetu vya pombe tulikumbana na hoja moja iliyokuwa moto sana hasa kwa akina mamsapu!!!

Cha kushngaza, wanawake woote waliokuwa pale (including tibaigana wangu) walipinga DNA tena kwa hasira kabisa na hasa wakisisitizia kwamba kupima DNA ni kumfanya mkeo kuwa si muaminifu

sasa wadau, naombeni mawazo yenu kwani bado naamimi DNA ni ,uhimu!! akina dada mnasemaje?

Mkuu issue inaonekana imekutibua vipi wewe na huyo 'tibaigana' wako tayari mnao makinda?
 
Ukipima DNA maana yake humuamini mkeo.

Kama humuamini hata mkeo, what's the point of marriage?

Lakini ukweli unabaki kwamba huwezi kumuamini mtu yeyote.

The logical conclusion is that mariage is overrated.

Ndiyo maana nasema "hakuna kuoa".Kama waliooana hawaaminiani, nioe ili iweje?

Samahani BR, wewe umelelewa na mzazi mmoja?
 
Wakuu, juzi katika vikao vyetu vya pombe tulikumbana na hoja moja iliyokuwa moto sana hasa kwa akina mamsapu!!!

Hoja yenyewe inahusu kupima DNA watoto wetu wanapozaliwa; mimi nilitetea kwa hoja kwamba inasaidia watu kuwa makini wanapomega au kumegwa nje, na pia inaleta faida kwa mtoto kwa kumjua baba halisi

Pia nilitetea hoja kwamba hakuja ubaya kutumia utaalam wa kisayansi uliopo kwenye maisha ya kila siku

Cha kushngaza, wanawake woote waliokuwa pale (including tibaigana wangu) walipinga DNA tena kwa hasira kabisa na hasa wakisisitizia kwamba kupima DNA ni kumfanya mkeo kuwa si muaminifu

sasa wadau, naombeni mawazo yenu kwani bado naamimi DNA ni ,uhimu!! akina dada mnasemaje?

Kawaida ya ndoa ni kuaminiana ili muishi vizuri. Inapofikia mambo ya kupima DNA UJUE KUNA TATIZO KUBWA SANA ambalo kama hukutatua litaleta matatizo. Vinginevyo hakuna haja ya kupima wala kuongelea suala hilo kwa manufaa ya watoto.
 
DNA test muhimu...potelea mbali..itawafanya 'wadada' wawe makini na 'waume zao'...
 
Kupima DNA ni personal choice lkn mbona double standards? How many men wanawakataa watoto ambao ni wao for real? Na women raise those kids on their own? Then what happens ,those men end up raising children who are not theirs...... (the irony about life)
 
Kupima DNA ni personal choice lkn mbona double standards? How many men wanawakataa watoto ambao ni wao for real? Na women raise those kids on their own? Then what happens ,those men end up raising children who are not theirs...... (the irony about life)[To Err is Human and to Forgive is Divine]
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …
 
Je inawezekana ufanye DNA Test kwa baba na mtoto tu? au ni lazima mama awepo? Ninangalia uwezekano wa kupima mimi na mwanangu(????)tu.
 
Kupima DNA ni personal choice lkn mbona double standards? How many men wanawakataa watoto ambao ni wao for real? Na women raise those kids on their own? Then what happens ,those men end up raising children who are not theirs...... (the irony about life)

mwanaume anayekataa mtoto ana matatizo, hata ukipima DNA na mtoto asiwe wako cha maana ni kukubaliana na kuelewana kwenu kama mtaendelea na mahusiano, hatma ya mtoto nk.

cha maana hapa ni kutumia technology kupunguza hisia zisizo za lazima
 
Back
Top Bottom