TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,902
- 11,292
- Thread starter
- #81
Vipi kama unapima na kukuta kuna 50% chance ya kupata cancer mbaya, wengine wanasema inaweza kuku empower kuanza kuishi lifestyle itakayoikabili hiyo chance, wengine watasema bora nisijue niishi maisha yangu bila woga ambao unaweza hata usitimilishwe na ugonjwa.
This is exactly why we need DNA, watu hufikiria partenity test pekee lakini wataalam wanaangalia hata any risk factor around au certain potentials
This is what i told mamsap kwamba ni lazma tujue mtoto amelean upande upi ili tu-explore potentials na threats zake kwa faida yake
DNA is underrated in our societies