Triplets
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 1,146
- 202
Lakini kama sio kukosa uaminifu, kwanini akina mama hawaipendi DNA test?
MTM kutokuipenda DNA haimaanishi mwanamke sio muaminifu,
mwanamke muanimifu lazima atakasirika akiambiwa watoto wapimwe dna, kwa sababu hivyo ni kama kumuambia 'nahisi ume cheat na kuzaa nje ya ndoa, sikuamini wala siamini 100% huyu mtoto ni wangu' kitu ambacho ni tusi kubwa kwa mke ambaye hajawahi kucheat
mke asiye mwanaminifu akiambiwa suala la dna hata furahia vile vile for obvious reasons,