HENRY SHINDIKA
Member
- Jul 14, 2014
- 85
- 27
mi huwa napata shida xana mwanangu akilala mapema coz tv za cku hiz ni taarifa tu ndo cha maana vingi utumbo so why nisicheze na baby i love you ma babygirl ELIZA
can you imagine,unaingia nyumbani na mistress yako ya kazini wanakuja kukukumbatia kila mmoja anatoa story yake,unajibu huyu unajibu yule,mwingibe anakukalia mwingine anakulalia,baada ya nusu saa you are stress free.huwa sitamani kufa nikiwafikiria wanangu.
uenitamanisha wewe....
nkusaidie kuwapata!??
ndiyo tu
nakuja sas hivi.... mwezi wa kumi utakua unaongea mengine!!!
yah mwenzi wa kumi na moja au aaah njoo mwezi ujao napenda wanagu niwazae december
uwiii hadi wewe umenipita aisee ngoja nifanye hima HAIWEZEKANI
Molembe yaani mtu asiependa watoto au kutotaka kuzaa kwa namna moja au nyengine ana roho mbaya
basi ntakuja tupashe tu ila mwezi ujao ndo mechi kabisa.... mazoez muhimu kabla ya game
Mi umenikera wewe, subiri uende labour na uzee uone nitakavyo kusindikiza kwa guta.
Hebu fanya fasta ufaidi dunia, mwishoe ufe ukose hata wakukulia kwa nguvu. khaa!!!!
Usijali mpenzi nipo hapa tutakuwa naye
When are you ready!
Hata mi napenda wa kwanza awe wa ili awe anamtake care kaka take,maana kaka wakianza huwa hawajali Dada zao wadogo
Mi ndo mwenyewe
uwiii hadi wewe umenipita aisee ngoja nifanye hima HAIWEZEKANI
tukazane mama, watoto wana raha yao jamani
hahaaa!! yaani kila siku ni thread kuhusu mwanao ama? naomba nami niwe nimempata ili niwe nakupa sapport
ndiyo mpaka mods wanifungie akianza kuongea nasema jf doctor kule watajuta ndiyo watakuwa watafsiri wa dalili za mwanagu nikiona mabadiliko eeh nifanye mchakato haraka
hahaaaa hapo akina MziziMkavu wajiandae, maana akipupu tu unafungua thread, itabidi mods wakuanzishie jukwa lako kabisa ujimwage
nisamehe mweee kweli naanza zoezi leo
kabisa aisee kapupu kijani nasema watakoma