uwiii hadi wewe umenipita aisee ngoja nifanye hima HAIWEZEKANI
Na mie nifanye nitafute mwanangu maana!!!!
Mficha..... hapati.... Hebu panua tupate KEKUU NA MANKA
Na mie nifanye nitafute mwanangu maana!!!!
hahaaa!!! 2nd round naomba niwe refa
Molembe yaani mtu asiependa watoto au kutotaka kuzaa kwa namna moja au nyengine ana roho mbaya
mtetezi kumbe nawewe bado!
Bado sijabahatika niombee huu mwaka usinipite
nitakuombea mama, aisee nami sitaki huu mwaka unipite hvhv Mungu tu atutangulie
Kila la kher
mankaM uliamua tu kunibania ila bado sijachelewe mbegu bado ipo tele naweza kukupatiaingine
Amina.......Raha ya dunia ni mtoto.
Nakuomba Mwenyezi Mungu uwajalie wale wenye uhitaji wa mtoto, wapatie haja ya moyo yao.
Amina.
hapana. Kutotaka kuzaa haimaanishi mtu ana roho mbaya.
Ni heri mtu anayejitambua asitake kuzaa kuliko azae halafu atupe mtoto au ashindwe kumlea ipasavyo huyo mtoto.
binafsi nawaheshimu wanaoamua kutozaa kama kweli hayo ndo matakwa yao.
he he, msimu wa kilimo huu.umepotea sana weye...
he he, msimu wa kilimo huu.