Kuwa na mtoto kuna raha yake

Kuwa na mtoto kuna raha yake

Alhamdulillah kwa neema ya kupata mtoto. Mwenyezi Mungu awape afya njema watoto wetu wooote atukuzie inshallah na awape wahitaji
 
uwii jaman raha kweli, kwa waliongalia kipind jana cha eatv ilikuwa saloon kwa kweli. yaana ukiwa na mtoto anaongea kama yule mbona hata breakpoint inahamia nyumban
 
Back
Top Bottom