Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,519
......Raha ya dunia ni mtoto.
Nakuomba Mwenyezi Mungu uwajalie wale wenye uhitaji wa mtoto, wapatie haja ya moyo yao.
Aimen.

kwakweli inabidi, maana hata nami natamani sana, i see how happy my frnd is after having her's na maelezo ya wadau humu ndio yananitamanisha zaidi
......Raha ya dunia ni mtoto.
Nakuomba Mwenyezi Mungu uwajalie wale wenye uhitaji wa mtoto, wapatie haja ya moyo yao.
kila la kheri nakuombea upate baby girl aiseeee

Zamani kabla sijawa na familia mamangu ndo alikuwa furaha yangu yaani ilikuwa nikimpigia simu najisikia furaha sana baada ya kuwa na familia yangu nafarijika sana nikiongea na mtoto wangu wa kiume,nikicheza na mtoto wangu na hata nikiwa mbali nafarijika sana nikiongea na mtoto nawashangaa wale wasiotaka kuzaa mtoto ana raha yake.
je mtoto n mtoto hata kama umezaa kabla hujaoa/kuolewa&mipango na yule uliyezaa nae hakuna au mtoto wa ndoa ndo faraja?
Kuna madem wengi sana ambao ni single mothers waliozalishwa na washkaji afu ni no future hao ndo wanakuwaga na swaga kama zako katika kujifarij lkn nakuhakikishia wanandoa hua hawana mambo kama haya sijui kua na mtoto raha cjui nini, wao hua ni kimya kimya tu

.......nina mmoja tayari, kidume na anatosha kabisa.