Kuwa na mtoto kuna raha yake

Kuwa na mtoto kuna raha yake

Kweli watoto ni raha kama umejaaliwa kuwa nao na ni faraja kubwa sana ktk familia. Ila hatuachi kuwaombea wale wenye matatizo ya uzazi Mungu awaponye na wao siku moja washiriki furaha hii
 
Kweli watoto ni raha kama umejaaliwa kuwa nao na ni faraja kubwa sana ktk familia. Ila hatuachi kuwaombea wale wenye matatizo ya uzazi Mungu awaponye na wao siku moja washiriki furaha hii
 
Last edited by a moderator:
Mtoto ana raha mjukuu ndio ana raha sana maana atakutania tofauti na mtoto wako mjukuu hudeka sana kwa babu

Can you imagine,unaingia nyumbani na mistress yako ya kazini wanakuja kukukumbatia kila mmoja anatoa story yake,unajibu huyu unajibu yule,mwingibe anakukalia mwingine anakulalia,baada ya nusu saa you are stress free.Huwa sitamani kufa nikiwafikiria wanangu.
 
1thess 5;18
give thx in all circumstances
 
je mtoto n mtoto hata kama umezaa kabla hujaoa/kuolewa&mipango na yule uliyezaa nae hakuna au mtoto wa ndoa ndo faraja?

Mtoto tu hata uzae njee au ndan ya ndoa na hata uzae na kichaa mtoto n mtoto acha kuleta mbwembwe nyingi nakutaka kuleta ubishi.alafu inaonyeshea una mtoto heeee
 
Kuna madem wengi sana ambao ni single mothers waliozalishwa na washkaji afu ni no future hao ndo wanakuwaga na swaga kama zako katika kujifarij lkn nakuhakikishia wanandoa hua hawana mambo kama haya sijui kua na mtoto raha cjui nini, wao hua ni kimya kimya tu

Nadhani unaongea usicho kijui, na nibora ungebaki kimya mtoto anaraha yake kwa mzazi yeyote awe yupo kwenye ndoa au single mother na ndiyo maana utakuta watu wanapo achana hung'ang'ania mtoto. Hii yote ni kwasababu mtoto huleta faraja ya kipekee.
 
Can you imagine,unaingia nyumbani na mistress yako ya kazini wanakuja kukukumbatia kila mmoja anatoa story yake,unajibu huyu unajibu yule,mwingibe anakukalia mwingine anakulalia,baada ya nusu saa you are stress free.Huwa sitamani kufa nikiwafikiria wanangu.

Ahahahahaa chezea watoto wewe.
 
Shea na machungu ya wanaotafuta watoto usiku na mchana wasipate, fikiria hili pia.
 
Kuna madem wengi sana ambao ni single mothers waliozalishwa na washkaji afu ni no future hao ndo wanakuwaga na swaga kama zako katika kujifarij lkn nakuhakikishia wanandoa hua hawana mambo kama haya sijui kua na mtoto raha cjui nini, wao hua ni kimya kimya tu

Una matatizo wewe.
 
Last edited by a moderator:
hongereni kina mama, ila kumbukeni kuwale katika maadili meme, kuna kina mama hawana habari kabisa ya kuwafundisha watoto maadili....... badae panya road wanaongezeka
 
Mtoto ni kila kitu katika maisha, mtoto ni faraja sana sana
Huwa napenda jinsi anavyoweza kunikeep bze, maana kila nifanyacho najua nafanya kwa ajili yake. Oooh Asante MUNGU.

1421238677884.jpgView attachment 224922
 
Hongera mkuu Molembe kwa kupata toto la kiume...mtunze sana mkuu maana ni hazina hiyo.........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom