Kuwa na mtoto kuna raha yake

Kuwa na mtoto kuna raha yake

We acha tu my, kila upitapo na mwanao lazima watu wageuze shingo, yaani moyo hububujika kwa furaha kwa kweli. na ukimlea vizuri, anakuwa bright sana. mungu akutangulie my.

cant wait jamani, aimen
 
Ni kuomba Mungu kupata kizazi chema tu, unaweza ukapata mtoto na ukajuta na kusema bora kutokua na mtoto kabisa!!
 
dah nashindwa kuelezeaa jinsi gani mwanangu anavyonipaga raha.........na akiniita mama.....duh moyo unalipuka....najikuta nakuwa nafuraha isiyo na kifani......

mtoto raha sana......nikikumbuka vituko vyake......uwa najikuta natabasam mwenyewe.......
 
Nakubaliana na wewe 100%.

Hapana. Kutotaka kuzaa haimaanishi mtu ana roho mbaya.

Ni heri mtu anayejitambua asitake kuzaa kuliko azae halafu atupe mtoto au ashindwe kumlea ipasavyo huyo mtoto.

Binafsi nawaheshimu wanaoamua kutozaa kama kweli hayo ndo matakwa yao.
 
Watoto wengine ni laana na wengine ni neema....na wengine ni baraka kutoka kwa MUNGU......
 
Najiskia fahari sana kumnyonyesha mwanangu yan nikiwa kazini napiga simu zaidi hata ya mara 15 nyumbani kumuulizia
 
A proud father of two beautiful daughters.
They are the greatest blessing ever from Almighty God.

I can't be thankful enough to Allah for them.
They are the reason for my strength when I am so down.

Maana ya maisha inabadilka kabisa mara unapopata mtoto.

Ndio kuna changamoto za malezi lakini kitu gani katika ulimwengu huu ambacho hakina changamoto?
 
Data given njoo utoe ushuhuda wako juu ya mwanao
 
Last edited by a moderator:
Watoto raha bwana, kila nikimuangalia mwanangu najikuta nasmile mwenyewe. Nategemea kupata mwingne katikati ya mwaka huu, kama mnavyojua wajawazito tunapenda kulala basi mwanangu anajua mama ake naumwa kila saa anakuja chumban mama ujapona? Nikuletee dawa? Najikuta nafurahi kujua kuna mtu duniani nna thaman kwake kuliko kitu chochote.
 
Back
Top Bottom