Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,584
- 90,453
nishaacha nimepoaa😎Kumbe "Mkolofii"!!!!!
"Baunza"😎
nishaacha nimepoaa😎Kumbe "Mkolofii"!!!!!
"Baunza"😎
Davidmmarista bush boy😎Unatafuta plot yako heka 3 heka 4 weka kisima kikubwa maji ya kutosha, solar, kinyumba cha kawaida tu, bustani, mifugo (kuku, mbuzi, ng'ombe), shambaboy wako 1 au wa2 kula maisha. Mwanaume anahitaji sana utulivu wa akili, nature is calling.
Ni Afya ya akili mkuu wala si kufautilia cent ,angekuwa anafatilia cent angetembea kwa miguu ili asave zaidi.Mwamba kabsa, hela ni yake, lazima afatilie kila cent inaelekea wapi. Nawakubali Sana watu hivi, nidhamu katika Jambo lolote ni muhimu.
hapa ukiwa alone off grid kwa 8weeks aise unakuwa na akili yenye utulivu wa kutisha
View attachment 3665626
Absolutely! No phone, no internet, just books, nature and silence. Sometimes the mind needs to disconnect in order to reconnect.hapa ukiwa alone off grid kwa 8w²eeks aise unakuwa na akili yenye utulivu wa kutisha
View attachment 3665626
Huyu ndo shemeji yangu anaetamba na goma sahivi?Davidmmarista bush boy😎
👊Unatafuta plot yako heka 3 heka 4 weka kisima kikubwa maji ya kutosha, solar, kinyumba cha kawaida tu, bustani, mifugo (kuku, mbuzi, ng'ombe), shambaboy wako 1 au wa2 kula maisha. Mwanaume anahitaji sana utulivu wa akili, nature is calling.
Mdogo wangu huyu jameni, nyinyi hamnaa ndugu?Huyu ndo shemeji yangu anaetamba na goma sahivi?
Kali kinomaMimi hua nikichoka najiteka hukuView attachment 3665918 one time....😋
Ifakara Mkuu, mwezi ujao tunaanza kuandaa mashamba ya mpungaPori gani mkuu
Davidmmarista bush boy😎
Acha ushamba...
Cabin bongo?
Unao huo uwezo ama unajiongelesha tu?
Mkuu that's almost impossible..Kuweka cabin bongo inawezekana sema ni gharama mwanzoni kuliko kujenga kawaida.
Norway lazima almost kila familia iwe nacho kama hiki.Sometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart
mijini kilele zimekuwa nyingi sana.
mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.
View attachment 3665623