Siku ukinikuta selo uje uniokoe napiga mimi balaa usiombe nikugonge na komwe unasambarika meno yote ya mbele.Nina mikwara baba hawezi kujaribu!
Maoni yangu, sio lazima ukaishi kwenye. Cabins ili kupata utulivuTofautisha kati ya kufanya kazi porini na kukaa off-grid kwenye cabin ukiwa unataka kupata utulivu wa Akili.
Kibunda ni muhimu na kina nafasi yake
Kumbe "Mkolofii"!!!!!Mimi siwezi, ila kuna siku nimetoka dukani sijauza hata mia na home sina kila kitu, oyaaa afu konda ananiletea madharau, nilipigana na konda mpk leo najilaumu! Sina dereva kaniamvia nimekopwa nilimpiga na kichupa changu cha maji🫢
Sema nashukuru nimekuwa sikuhizi!
Nakubali mzee wanguMaoni yangu, sio lazima ukaishi kwenye. Cabins ili kupata utulivu
Zipo hotel za mtindo huo pia ambapo unaweza kuwa salama (hakuna wanyama wakali) lakini ukapata uhakika wa chakula bila kuishi huko porini
Kwenye kibunda tupo pamoja
Njoo Mkuu unitembelee mwezi ujao huku porini, unisaidie kulima mashamba na trekta huku tukiwinda sungura na kwale 🤗Nakubali mzee wangu
Aisee wewe ni mgai gai mpka nje ya jf kumbe?Mimi siwezi, ila kuna siku nimetoka dukani sijauza hata mia na home sina kila kitu, oyaaa afu konda ananiletea madharau, nilipigana na konda mpk leo najilaumu! Sina dereva kaniamvia nimekopwa nilimpiga na kichupa changu cha maji🫢
Sema nashukuru nimekuwa sikuhizi!
Unakimbia kuwa mental unakuwa hayawaniSometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart
mijini kilele zimekuwa nyingi sana.
mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.
View attachment 3665623
Jamaa anahisi cabin ni matraako kila mtu anayoTuwaachien wazungu haya mambo hatuyawez
Mwamba kabsa, hela ni yake, lazima afatilie kila cent inaelekea wapi. Nawakubali Sana watu hivi, nidhamu katika Jambo lolote ni muhimu.Kuna jamaa aligoma kushuka kwenye daladala akataka kupigana na kondakta kisa konda alimwambia hana 100 ya chenji ,jamaa akagoma akakaa kama dakika 5 hivi konda atafute chenji.
Hata uzee haupishani na utoto🤣🤣🏃🏻Kumbuka ulipokuwa Kijijini ulitafuta sana kuja Daslamu😜
Ngoja bwanamiti wakukute unalinda bangi, utagalagazwa mpaka makalio yasinyae.Sometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart
mijini kilele zimekuwa nyingi sana.
mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.
View attachment 3665623
Kweli kabisaAaaah , stress ni tatizo kubwa sana
Wewe utawekwa mno ndani, andaa wadhamini wa uhakika ili isiwe unalazwa huko😃Siku ukinikuta selo uje uniokoe napiga mimi balaa usiombe nikugonge na komwe unasambarika meno yote ya mbele.
Komwe mchongoko utaita maji mmaaa!