Kuwa na cabin ni muhimu sana.

Kuwa na cabin ni muhimu sana.

Kuna jamaa aligoma kushuka kwenye daladala akataka kupigana na kondakta kisa konda alimwambia hana 100 ya chenji ,jamaa akagoma akakaa kama dakika 5 hivi konda atafute chenji.
Mimi siwezi, ila kuna siku nimetoka dukani sijauza hata mia na home sina kila kitu, oyaaa afu konda ananiletea madharau, nilipigana na konda mpk leo najilaumu! Si na dereva kaniambia nimekopwa nilimpiga na kichupa changu cha maji🫢

Sema nashukuru nimekuwa sikuhizi!
 
Mimi siwezi, ila kuna siku nimetoka dukani sijauza hata mia na home sina kila kitu, oyaaa afu konda ananiletea madharau, nilipigana na konda mpk leo najilaumu! Sina dereva kaniamvia nimekopwa nilimpiga na kichupa changu cha maji🫢

Sema nashukuru nimekuwa sikuhizi!
OMG!!
 
Ndiyo hiyo mental health ,hasira za kutouza umeenda kuhamishia kwa konda hahahaaaa ,ukipata changamoto unamuomba tu kondakta na wanasaidia sometimes.
 
Hiyo sio tiba pekee

Sisi tuko na kufanya kazi maporini Kila siku, na huo utulivu hatuoni

Jitahidi akaunti iwe na Salio tu

Jipeleke vacation hapo kwa madiba ama hata hapo Kizimkazi ukalale hotel peke yako

Binafsi nakuwa na stress na kupungua mwili pamoja na kuongea peke yangu njiani iwapo Sina Salio kwenye akaunti

Tafuteni hela mkiwa vijana ili kukwepa aibu za Uzeeni
 
Tofautisha kati ya kufanya kazi porini na kukaa off-grid kwenye cabin ukiwa unataka kupata utulivu wa Akili.

Kibunda ni muhimu na kina nafasi yake
 
Back
Top Bottom