Ndiyo maana njiani ukipishana na mtu na kwa bahati mbaya ukamgusa mkono aisee anakulipukia au kwenye dadadala bahati mbaya umemkanyaga mguuni au umesogeza kioo cha dirisha kikamgusa aiseee analipuka!Mental health imekuwa changamoto sana...
kama hao wakiendelea hivyo after 3yrs lazima wapelekwe hospital ya vichaaNdiyo maana njiani ukipishana na mtu na kwa bahati mbaya ukamgusa mkono aisee anakulipukia au kwenye dadadala bahati mbaya umemkanyaga mguuni au umesogeza kioo cha dirisha kikamgusa aiseee analipuka!
Mental illness is real.
Kabisa wanapelekwa mirembe.kama hao wakiendelea hivyo after 3yrs lazima wapelekwe hospital ya vichaa
Aisee kuna kupigana na konda au dereva unabaki unajiuliza umebeba matatizo ya ulimwengu au vipi!🤔Ndiyo maana njiani ukipishana na mtu na kwa bahati mbaya ukamgusa mkono aisee anakulipukia au kwenye dadadala bahati mbaya umemkanyaga mguuni au umesogeza kioo cha dirisha kikamgusa aiseee analipuka!
Mental illness is real.
We jamaa wewe, umeshabadilisha mikato?Kumbuka ulipokuwa Kijijini ulitafuta sana kuja Daslamu😜
Kuna jamaa aligoma kushuka kwenye daladala akataka kupigana na kondakta kisa konda alimwambia hana 100 ya chenji ,jamaa akagoma akakaa kama dakika 5 hivi konda atafute chenji.Aisee kuna kupigana na konda au dereva unabaki unajiuliza umebeba matatizo ya ulimwengu au vipi!🤔