MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,659
- 2,886
HUWEZI JUAKuna jamaa aligoma kushuka kwenye daladala akataka kupigana na kondakta kisa konda alimwambia hana 100 ya chenji ,jamaa akagoma akakaa kama dakika 5 hivi konda atafute chenji.
Konda nao ukikosa mia anakujazia nzi ,asa inaonekana mwamba yashawahi mkuta akaona Kama mbwai iwe mbwai tuu!?