Chimbo jipya ni The Embassy kwa Musuguri

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,574
Reaction score
6,119
Wazee wa viwanja, kuna chimbo jipya limefunguka Mbezi Kwa Msuguri linaitwa The Embassy, na kwa kweli hapa nimeona ni sehemu ya kwenda ku-relax bila makelele ya mjini.

Hapa pamekaa kiustaarabu sana. Kuna garden nzuri, mazingira yametulia, hewa safi na ule muonekano wa sehemu za kupumzika ambazo ukiingia unahisi kabisa umeondoka Dar kidogo. Kama unapenda sehemu zenye utulivu, music wa kawaida na kukaa zako bila presha, The Embassy ni sehemu ya kuangalia.

Cha kushangaza zaidi ni bei zao. Bia ni around 2K tu, yaani bei bado ni za local kabisa lakini mazingira yenyewe unaweza kudhani umeingia sehemu nyingine kabisa. Hotel zao zinaanzia kama 100K, hivyo kama una mpango wa kukaa hapo na kupata weekend ya utulivu, unaweza ku-check.

Na kingine nilichokipenda ni crowd yake. Hapa hakuna yale makelele ya Gen Z kila kona, hakuna presha ya kujionesha wala vurugu za sehemu nyingi za mjini. Kuna wale mishangazi, watu wazima na watu wanaokuja kupumzika zao. Sehemu imekaa mature sana, kiasi kwamba ukiangalia mazingira unaweza kudhani uko kwenye bar za huko majuu.

Garden yao nayo ni story nyingine. Unakaa zako, unaagiza kinywaji, unapiga story na watu wako huku mazingira yakiwa yamekaa fresh. Ni ile sehemu ambayo unaweza kwenda na mtu wako, marafiki au hata kukaa mwenyewe ukitaka tu kubadilisha mazingira.

Kwa kifupi, The Embassy Mbezi Kwa Msuguri ni chimbo ambalo limekuja na concept tofauti. Bei za kawaida, mazingira ya juu, utulivu wa kutosha na hakuna pressure nyingi.

Wazee wa viwanja, kama ulikuwa unatafuta sehemu mpya ya kwenda kupumzika, hii nayo iweke kwenye list yako. The Embassy imekaa kishua lakini bei bado za uswahilini.

Mbezi Kwa Msuguri kuna chimbo jipya, na kwa namna lilivyo sasa hivi, linaweza kuwa moja ya sehemu zinazokuja kutikisa eneo hilo.
 
Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    27.6 KB · Views: 3
  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    26.1 KB · Views: 3
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    30.2 KB · Views: 3

Wana UTI za maana?
 
Hebu jazia jazia nyama hapo kwenye mishangazi ili twende pamoja
 
Paking ya uhakika?.
 
Kapicha mkuu!
 
Back
Top Bottom