Hili la kutoa sadaka,linasaidia sana.Bahati mbaya Shetani hutufanyia mazingira tuone Kama unapotezaKinga nyingine ambayo haiumizi ni sadaka
kinachotuponza waafrica tukiwa na ela ni kwenda front on everything
yaani utataka wewe uwe maarufu kama huduma unayotoa
sasa ndo unakaribisha Husda
Umepiga kwenye mshono mkuuKwenda kwa mganga/kusali hakuleti utajiri,
Unaweza kwenda ukapata, unaweza usiende ukapata, utajiri hauhusiani na imani.
Ingekua hivyo, matajiri wangekua wengi mno
Sasa hii ni ngumu kuelewa kwa watu wenye imani, kwahiyo wewe fanya unachoona sawa
Bora ujifunze kwa experience
Kumaanisha nini sasaKama wewe ni Mtu wa Imani sana nakushauri usifanye Biashara.
Ni vigumu mfanyabiashara Kuiona Pepo
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ndo mfumo wa dunia ulivyoaminisha wengi hasa wenye haki, ikawa badala ya kufanya kazi halali kwa bidii ni kushinda kwenye nyumba za ibada kulia na kuomboleza na kuangalia mawinguni.Kama wewe ni Mtu wa Imani sana nakushauri usifanye Biashara.
Ni vigumu mfanyabiashara Kuiona Pepo
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Naomba unifafanulie vizuri huu mstariIsaya 45:2
nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni Bwana, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa kweli.
Nimejifunza jambo kubwa sana hapa.Ibada ya kweli ni kuzalisha kwa halali na haki.
Unamaniisha hizi sadaka za jero jero tunazopeleka kila jumapili au mi ndiyo sijaelewaMali hulindwa na sadaka na wala sio mganga.
Mali zilizofichwa gizani ilikuwa ni mwenye haki na utajiri aliokusudiwa kuwa nao.Mwenye haki alikandamizwa akawa mbolea ya waovu yaani kutolewa kafara au msukule au kuibiwa vitu vyako bila kujua. Walikuwa wanasimama na andiko alilosema kayafaNaomba unifafanulie
Asante nimeelewaMali zilizofichwa gizani ilikuwa ni mwenye haki na utajiri aliokusudiwa kuwa nao.Mwenye haki alikandamizwa akawa mbolea ya waovu yaani kutolewa kafara au msukule au kuibiwa vitu vyako bila kujua. Walikuwa wanasimama na andiko alilosema kayafa
Yohana 11:50
wala hamfikiri ya kwamba yafaa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, wala lisiangamie taifa zima.
Hujiulizi kwanini muovu alikuwa anaweza kukuangalia akajua unanyota kali ila hata wewe hujijui (ilikuwa ni kitu cha hovyo sana), na ndo hapo wengi wakawa wanaibiwa vitu vyao bila hata kujijua kabla hawajazaliwa na wakati mwengine wakiwa kwenye matumbo ya mama zao.
Maarifa yalikuwa yanamilikiwa na waganga, wakuu wa giza, wakuu wa anga etc sababu ndo mfumo uliokuwepo.
Ndo maana mjini wakasema chema hakidumu ikimaanisha mwenye haki, yaani mfumo wa dunia ulikuwa ni hovyo bila muumba mwenyewe hakuna ambae angetoka hapo.
Mbinguni au mbingu sio kama wengi wanavyodhani au walivyopokea kwenye mapokeo mbalimbali.Hapa duniani ukishajua maisha ni mchezo utaishi vizuri sana. Walituletea dini ili kutupumbaza tusijue huo mchezo. Eti tufikirie maisha ya mbinguni, kungekuwa na maisha kweli ya mbinguni hawangetuambia ila wangeeda wao wenyewe kimya kimya.
Kuwa mfanya biashara Tanzania ni sawa na kuwa mwana siasa, yaani lazima uroge tu ili utoboe.Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga,
Ndugu huyu ana haiba ya kuwa mcha Mungu, ni mtu mstaarabu sana, ni mtu anaesaidia wengi, ni mtu peace sana.
Noja ya watoto wake tumezoeana sana, yupo huru sana kunieleza matatizo yake na secrets, sasa siku ya jumamosi katika maongezi yetu akagusia kwamba "hata baba anaenda kwa mganga" nilijifanya kuchukulia poa ili nichimbe info awe huru kujieleza ndio akanisimulia baadhi ya mambo mazito sana lakini aliniasa iwe secrt yetu.
Kwa utajiri wake nyumba yake anayoishi ina thamani ya takribani milioni 400 kwa miaka ya 2014, Ana lodge 3, nyumba alizojenga kupangisha zipo 10 kodi kuanzia laki 4 hadi milioni kwa mwezi, ana maduka mawili makubwa ya jumla, ana scania aliinunua mpya kabisa ya kubebea mizigo, watoto wake wanasoma shule expensive, simu kali, n.k.
Usipige kichwani chiefPole..
Mie sio kijana...
Kwa umri mimi ni baba yako au mume wa mama yako..
Na kwa ukwasi mimi ni mmoja wa waTanzania ninaye miliki meli kwa muda huu nipo Denmark 🇩🇰
Karibu na Asante