Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,116
- 41,722
Mimi huyu mtoto wangu ni well behaved sio mtundu kabisaa..Kuna watu ni wasenge kinoma, yaani mtoto mtulivu anatafsiriwa mkosefu. Sipendi watoto wenye fujo kinoma, naweza mlamba hata kofi mama ake ang’ake
😆 Introvert hata ukimkanyaga kwenye daladala hata hakwambii kitu...ananyamazaa kimya mpaka utoe mguu..Mimi sijui kama ni introvert
Ila sio mzungumzajii naweza kaa hata miezi kadhaa kumzoea mtu
Nikikuzoea tutakuwa na bond matata
Ni mzungumzajii tukiwa tushazoeana,,
Hata kama tumezoeana ni ngumu kujua changamoto zangu, au maisha nje ya ninachokiishi tukiwa pamoja
Napenda utulivu sana, sio mtu wa kelele hata bufa na miziki yangu ni muziki wa sauti ya chini,
Nipo kundi la mkimya, au Ila msiniweke introvert huko
Sio wote Mimi naweza kukaa kimya pia nikiamua naongea kiasi.Kila mtu hujiita introvert mpaka akinywa pombe ndio utajua nyeusi kijani na njano
Pia Mimi nimeweza kuacha japo kwa Sasa nipo kwenye both introvert & extrovert kiasi.Kuna baadhi ya mambo unaweza uka cope na mazingira ila vingine huchukua muda sana mkuu
Kaka nakuona wewe ni introvert pia?trust me ata pata rafiki tu, it takes time. Au tafuta mtoto mwenye tabia nzuri mwambie awe rafiki wa mwanao.
Mm nashindwa kutofautisha mtu mwoga, mpole ama mkimya na msiri 😂😆 Introvert hata ukimkanyaga kwenye daladala hata hakwambii kitu...ananyamazaa kimya mpaka utoe mguu..
Zoteee tabia za introvert wengi huwa na hizo characteristics 🤣Mm nashindwa kutofautisha mtu mwoga, mpole ama mkimya na msiri 😂
Nakazia.Me, myself and I
Sometimes, ila mimi ni mtu wa watu. Dk 5 zina tosha kupata washkaji ugeniniKaka nakuona wewe ni introvert pia?
Kweli kabisa wagonjwa wa matatizo ya akili Hawa hawana lolote, halafu wanaya entertain, sijui napenda kukaa peke yangu, sijui mkimya, , badala ya kuwahi Mirembe, kama kuna mmoja anasema zamani alikua introvert ila sasa hivi sijui vikaenda vikarudi, Kelele tupu.Ujinga tu, mental health mmeanza kuitafutia majina mazuri mazuri?! Ati introvert?! Nendeni Mirembe mkatibiwe
Nilikuwa introvert mzee, naishukuru pombe imenitoa huko. Hiyo hali ni kama uchizi, unawezajikuta psycho kimasikhara, introvert ni kama ufala na udomozege. Kitu pekee positive introvert chakujivunia ni akili(ubunifu)Sio wote Mimi naweza kukaa kimya pia nikiamua naongea kiasi.
Tangu kwenye uzi wa Da'Vinci miaka ile, hili nilishazungumzia introvert ni ugonjwa wa akili. Nazungumza kwa uzoefu sababu nilishakuwa huko.Ujinga tu, mental health mmeanza kuitafutia majina mazuri mazuri?! Ati introvert?! Nendeni Mirembe mkatibiwe
Hapo kwenye kutokua vizuri darasan na wakati ku socialise hawezi ndipo kitakapomrambia. Mkomalie kitaaluma mbona Intro wengi vipanga tu.Kuna Mwanangu yuko form 2 ana tabia hizo,akirudi shule ni ndani,kuna baadhi ya majirani uwa wanamuona mtaani akiwa anaenda au kurudi shule lakini hawajui kama ni Mwanangu coz dogo hajulikani anakaa wapi,pale home ni ndani tu,kuna kipindi alidai anataka kunifundisha forex maana nilimpa kipc changu kibovu kibovu na home kuna wifi ya voda ya mchongo,ila sasa upande wa shuleni si mzuri sana,mtaani hana rafiki coz sijawahi kumuona kucheza na wenzake,kuna kipindi nilimfuatilia shuleni kwao nikagundua kule pia hana marafiki,wakati wa kutoka kuelekea stendi uwa namuona yuko peke yake,ajichanganyi na wenzie
Ipa bado mm sio introvert kwakweli 😂Zoteee tabia za introvert wengi huwa na hizo characteristics 🤣
Wewe utakua upo kwenye transition period from introvert to extrovert 😊Mie bado sijijui km ni introvert au ndo nn, maana nina tabia za introvert, ila nikipata wasaa wa kuchangamana na watu wangu wa karibu, basi nachachuka kuliko wao.
Na wao huwa hawaelewi nini hiki, 😂😂😂😂