mkuu unaumia watu kuwa introvert..?
Hapa hakuna anaejisifia!, sijui kwanini zimekushika hasira za bure huu uzi unazungumzia introvert na tabia zao na namna zinavyokera/kumkera na vipi vya kupunguza na wazazi waishi vipi na watoto wao wenye hizo tabia!.Hizo ni sifa za binadamu yeyote yule. Kujipa stupid labels hakufanyi mtu uwe special. Introvertism na zogiac signs zimefanya muwe na upumbavu endelevu mkikua mtaacha.
Hapa hakuna anaejisifia!, sijui kwanini zimekushika hasira za bure huu uzi unazungumzia introvert na tabia zao na namna zinavyokera/kumkera na vipi vya kupunguza na wazazi waishi vipi na watoto wao wenye hizo tabia!.
ndio ni tabia za kibinadamu hatuzungumzii ng'ombe hapa!.
Unaona sasa tatizo lako.Kila mtu anajiona special kwa kujipa stupid labels, wote mkiwa so called introverts hakuna uspecial tena π
Unaona sasa tatizo lako.
Yani mtu kujieleza tabia yake we unaona anajiona special.
Huoni kuwa wewe ndiye unalazimisha tujitafsiri unavyotaka?
And for the record, kati ya wanaojieleza haiba zao na wewe unayewaambia hawako hivyo nafkr mpk sasa unaweza kupata jibu nani ni stupid.
Uko sahihi mkuu! Kunawakati tunapata taabu sana!Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
Pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
Wala hatuna haja ya wewe kutuamanishasipo hapa kumuaminisha mtu kitu chochote..π
Njoo unidunde labda hili wenge litanitoka...Ntakudunda
La kazi nyingi...una wenge la nini..?
Hyo darkside ni Nyeto tu bila shakaπNyongeza..
Kwenye mapenzi hivi viumbe usiwe na haraka navyo, mzazi usimtake mtoto wako mwenye hulka ya introvert akurupukie mapenzi!, tena zaidi zaidi hawa "melancholic!", Ni waoga, madomo zege! unaweza hata ukafikiria hatakuja kutongoza lakini elewa huyu anaweza kufanya kitu na usijue!.
Sasa kwenye mapenzi hawa hawanaga papara maana wana aibu!, huwachukua muda sana hata kuja kupata ujasiri wa kutongoza!.
na najua baadhi ya wazazi huanza kupata mashaka kuwa labda mwanae hayupo sawa ktk namna moja ama nyengine!, ni sawa maana wasiwasi ni akili.
zingatia zaidi kwenye kuimarisha ujasiri wake kuna baadhi ya hulka zikipungua itakuwa ni afadhari sana kwake!.
Introvert wenzangu someni hii..
Muda mwengine jichanganye na watu piga nao stori hata mbili tatu ni tiba na inachangamsha ila tu endelea kuziheshimu hulka zako ila zisiwe sehemu ya kukutesa!.
pili kama mtu hawezi kukuelewa usimlazimishe na usijisumbue kuutumia muda wako kumuelewesha kama haelewi!.
muda mwengine vaa ujasiri kama kitu hujapenda sema usikae kimya tu, maana ukimya unatutesa na kurundika vitu ndo huko kujuwekea ma depression na anxiety za ajabu ajabu!.
Najua tuna dark side!, huko sitoi siri ya kambi...π
Pia jaribuni vitu vya hatari katika hali ya usalama sio unakakaa ki boya haswa kwasisi wakiume!. muda mwengine mtu akileta za kuleta nawe mletee, hiyo inaleta heshima kwa baadhi ya wale wanaokuona mpole na kuitumia hiyo nafasi kama advantage!.
Hujui kwamba Introverts mtandaoni ndio wanajimwaga essay kama zote ππ maana kwenye maisha ya uhalisia hawaongei na watu kwa sababu ya aibu na kujitengaIntrovert ?
sidhani Kama ungeweza kuandika hata p'graph 2
Aibu kwenye space or place inabaki pale pale Mana Haina Tofauti na Hofu ( Kujitisha mwenyewe ).Hujui kwamba Introverts mtandaoni ndio wanajimwaga essay kama zote ππ maana kwenye maisha ya uhalisia hawaongei na watu kwa sababu ya aibu na kujitenga
Yani ipo hivi ukiwa tu na tabia hizo za kupenda kujitenga na watu, unafeel uncomfortable ukiwa na watu wewe ni INTROVERTAibu kwenye space or place inabaki pale pale Mana Haina Tofauti na Hofu ( Kujitisha mwenyewe ).
Mkuu Hawa Ma-Agrovet bhana.
Mkuu unaharibu sasa.
Wachunguze tu utajua walikua mazingira ya kupigwa biti na wazazi wao. ..( Uoga )
Kama asili yako nchi kavu utainjoi nchi kavu .Wazazi inapaswa wawe makini nankulea watoto wao. Introverts wanapenda kukaa peke yao na huwa na tabia nyingine, overthinking etcetra ila kuna muda kuwa peke yao hubadilika na kuwa hali ya upweke, lakini hiyo hali ya upweke kuna muda inatoka wanaendelea tena na kuwa Introverts
Mara nyingi hata level zao za furaha sio kubwa ukifananisha na Extrovert
HahahaNipo na beshte yangu hapa.ππ
View attachment 3282963