Wanawake kuishi unyumba vyuoni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu na wasalimu sana.

Ndoa nitaasisi kubwa takatifu inayojumuisha muunganiko wa mwanamke bikira (kama siyo bikira awe mjane, kafiwa na mumewe ndoa ikiwa bado hai) na mwanaume na iliyoundwa na kuanzishwa na mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo pamoja na sisi wanadamu.

Katika vyuo vyetu nchini kumekua na destruri ya wanachuo wengi sana wanaoishi hostel binafsi nje ya chuo au wanaopanga nyumba mitaani kuishi maisha batili na haramu ya unyumba ya mke na mume kwa miaka yote wawapo masomoni.

Wanachuo hawa wamekua wakifanya na kuigiza maisha ya ndoa kwa vitendo, huku mwanaume akiwa romantic sana na kufeki uhalisia wa uanaume kwa kigezo cha kwamba ni mapenzi, wamekua wakitumia boom hela wasizopata kwa jasho, hela za matumizi wanazopewa na wazazi wao kuishi maisha rahisi na batili ya unyumba kipindi chote cha masomo yao huku wakila starehe, kuvaa kimarioo, kusuka nywele mpaka kiunoni na wakati mwingine kushinda disco, viwanja na club, hali kadhalika kusheherekea birthday za kipuuzi.

Ndugu zangu wanawake wanasahau yale maisha aliyoishi ya unyumba chuoni ni haramu na haya maisha mengine ndiyo maisha halisi ya kutafuta hela kwa uchungu, chakula kwa jasho na kwanguvu huku ugumu wa maisha ukipanda na kushuka vile vile.

Wanawake wengi wanayachukua maisha ya kucheza na hela ,kula bata na kujistarehesha kwamba ndiyo maisha halisi wanasahau ukija kuolewa katika maisha halisi hizo bata za chuoni huwezi kuzipata lazima uchakae kidogo , upoteze mvuto na mwanaume iposiku atakosa hela.

Wanawake wamesahau kwamba mavazi uyavaayo chuoni, birthday unazosheherekea huko , kulala viwanja, kusuka nywele mpaka kwenye kiuno, kucheza na gesi mwanzo mwisho, kufuga makucha marefu na muda mwingi kunukia kimalkia kwenye maisha ya uhalisia ya mdoa hayo hayapo

Hali kadhalika wamesahau kumtumikisha mwanaume kufanya kazi za ndani wakiita ndiyo mapenzi nalo kiuhalisia halipo maana mwanaume muda mwingi atakua busy kusaka hela familia isonge mbele.

Wanawake wamesahau mwanaume akikuoa atakuzalisha, watoti watakukojolea na kukutapikia , utazidiwa na majukumu na bado mume akirudi atataka akuzagamue , utanuka moshi wa kuni, mkaa na hata utakua na masinzi usoni, wamesahau kwamba hizo nywele ndefu mpaka kiunoni ni mwisho ni huko chuoni na siyo ndani ya ndoa maana ukiinama kuosha vyombo zipo kwenye maji, ukipika zipo kwenye chakula na wakati mwingine kuungua moto.

Wanawake wamesahau kulishana lishana kwa midomo mwisho ni huko chuoni, kwenye ndoa huo muda haupo unatakiwa uwaze kulisha mtoto awe na afya njema huku ukimuhimiza mwezako ale na kama ni mgonjwa basi unamsaidia.

Wamesahau mwanaume kufua nguo za ndani , mashuka, kuchota maji, kuosha vyombo, kusindikizana sokoni na kuongozana kama kumbi kumbi mwisho ilikua chuoni. Ndugu zangu wanawake wamesahau maisha ya bata waliyoishi unyumba batili na haramu. Ndoa ya kishetani mwisho ni huko vyuoni.

Mbaya kabisa wanawake kwa wanaume wamesahau kwamba ndoa ya kipepo, haramu na batili waliyoiishi vyuoni hawakuvunja hayo maagano . Wanakuja mtaani wanasaka kuolewa upya kumbe unaoa au kuolewa na mume au mke wa mtu wa mwanachuo mwezake.

Ndoa nyingi zinateketea wanawake wanayabeba maagano ya ndoa batili za chuoni, maisha ya kipuuzi ya vyuoni waliyoishi unyumba na mababy zao wanayaleta ndani ya ndoa halali na ndoa yenye uhalisia na kupelekea mtafaruku mkubwa sana katika taasisi ya ndoa

Sasa ndugu zangu ;-

Wanaume jiulizeni sana huyo baby wako unae ringa nae, una vimba na kusema nimempenda atabadilika unajitosa kulipa mahari kubwa na kufanya sherehe kubwa sana ya harusi, je, alipokua chuo aliishi maisha gani ya chuo tena chimba zaidi ujue kama chuoni alikua ni mke wa mtu mwanafunzi mwezake kwa kipindi chote cha maisha yake ya masomo.

Jiulize kama chuoni aliishi unyumba na akastareheka je wewe unaweza kumpa maisha aliyo yaishi chuoni au ni kujitutumua tuu na kujilisha upepo kwamba upendo hauhesabu mabaya.

Jiulize je , huyo mke wa wanafunzi wa chuo unayetaka kumuoa ni mjane huyo mumewe mwanafunzi alikufa au unaoa mke wa mtu ambaye mumewe mwanachuo mwezake yupo hai alafu utegemee usije kuchapiwa na kuletewa watoto wa nje.
 
Loooooo mkuu una matatizo nini na akina mama?,it take two to tango, sasa uzi wote huu umewatupia lawama akina dada, why mdada awe bikira ILA mkaka asiwe naye bikira ?,una mawazo mgando ya kuwafanya wadada wameletwa ili wawe playing toy's zako, RESPECT mwanamke maana wote tumetoka kwao, na sema NO kwa GBV
 
Ndugu zangu na wasalimu sana.

Ndoa nitaasisi kubwa takatifu inayojumuisha muunganiko wa mwanamke bikira ( kama siyo bikira awe mjane, kafiwa na mumewe ndoa ikiwa bado hai) na mwanaume na iliyoundwa na kuanzishwa na mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo pamoja na sisi wanadamu.

Katika vyuo vyetu nchini kumekua na destruri ya wanachuo wengi sana wanaoishi hostel binafsi nje ya chuo au wanaopanga nyumba mitaani kuishi maisha batili na haramu ya unyumba ya mke na mume kwa miaka yote wawapo masomoni.

Wanachuo hawa wamekua wakifanya na kuigiza maisha ya ndoa kwa vitendo, huku mwanaume akiwa romantic sana na kufeki uhalisia wa uanaume kwa kigezo cha kwamba ni mapenzi, wamekua wakitumia boom hela wasizopata kwa jasho, hela za matumizi wanazopewa na wazazi wao kuishi maisha rahisi na batili ya unyumba kipindi chote cha masomo yao huku wakila starehe, kuvaa kimarioo, kusuka nywele mpaka kiunoni na wakati mwingine kushinda disco, viwanja na club, hali kadhalika kusheherekea birthday za kipuuzi.

Ndugu zangu wanawake wanasahau yale maisha aliyoishi ya unyumba chuoni ni haramu na haya maisha mengine ndiyo maisha halisi ya kutafuta hela kwa uchungu, chakula kwa jasho na kwanguvu huku ugumu wa maisha ukipanda na kushuka vile vile. Wanawake wengi wanayachukua maisha ya kucheza na hela ,kula bata na kujistarehesha kwamba ndiyo maisha halisi wanasahau ukija kuolewa katika maisha halisi hizo bata za chuoni huwezi kuzipata lazima uchakae kidogo , upoteze mvuto na mwanaume iposiku atakosa hela.

Wanawake wamesahau kwamba mavazi uyavaayo chuoni, birthday unazosheherekea huko , kulala viwanja, kusuka nywele mpaka kwenye kiuno, kucheza na gesi mwanzo mwisho, kufuga makucha marefu na muda mwingi kunukia kimalkia kwenye maisha ya uhalisia ya mdoa hayo hayapo

Hali kadhalika wamesahau kumtumikisha mwanaume kufanya kazi za ndani wakiita ndiyo mapenzi nalo kiuhalisia halipo maana mwanaume muda mwingi atakua busy kusaka hela familia isonge mbele.

Wanawake wamesahau mwanaume akikuoa atakuzalisha, watoti watakukojolea na kukutapikia , utazidiwa na majukumu na bado mume akirudi atataka akuzagamue , utanuka moshi wa kuni, mkaa na hata utakua na masinzi usoni, wamesahau kwamba hizo nywele ndefu mpaka kiunoni ni mwisho ni huko chuoni na siyo ndani ya ndoa maana ukiinama kuosha vyombo zipo kwenye maji, ukipika zipo kwenye chakula na wakati mwingine kuungua moto.

Wanawake wamesahau kulishana lishana kwa midomo mwisho ni huko chuoni, kwenye ndoa huo muda haupo unatakiwa uwaze kulisha mtoto awe na afya njema huku ukimuhimiza mwezako ale na kama ni mgonjwa basi unamsaidia.

Wamesahau mwanaume kufua nguo za ndani , mashuka, kuchota maji, kuosha vyombo, kusindikizana sokoni na kuongozana kama kumbi kumbi mwisho ilikua chuoni. Ndugu zangu wanawake wamesahau maisha ya bata waliyoishi unyumba batili na haramu. Ndoa ya kishetani mwisho ni huko vyuoni.

Mbaya kabisa wanawake kwa wanaume wamesahau kwamba ndoa ya kipepo, haramu na batili waliyoiishi vyuoni hawakuvunja hayo maagano . Wanakuja mtaani wanasaka kuolewa upya kumbe unaoa au kuolewa na mume au mke wa mtu wa mwanachuo mwezake.

Ndoa nyingi zinateketea wanawake wanayabeba maagano ya ndoa batili za chuoni, maisha ya kipuuzi ya vyuoni waliyoishi unyumba na mababy zao wanayaleta ndani ya ndoa halali na ndoa yenye uhalisia na kupelekea mtafaruku mkubwa sana katika taasisi ya ndoa

Sasa ndugu zangu ;-

***Wanaume jiulizeni sana huyo baby wako unae ringa nae, una vimba na kusema nimempenda atabadilika unajitosa kulipa mahari kubwa na kufanya sherehe kubwa sana ya harusi, je, alipokua chuo aliishi maisha gani ya chuo tena chimba zaidi ujue kama chuoni alikua ni mke wa mtu mwanafunzi mwezake kwa kipindi chote cha maisha yake ya masomo.

***Jiulize kama chuoni aliishi unyumba na akastareheka je wewe unaweza kumpa maisha aliyo yaishi chuoni au ni kujitutumua tuu na kujilisha upepo kwamba upendo hauhesabu mabaya.

****Jiulize je , huyo mke wa wanafunzi wa chuo unayetaka kumuoa ni mjane huyo mumewe mwanafunzi alikufa au unaoa mke wa mtu ambaye mumewe mwanachuo mwezake yupo hai alafu utegemee usije kuchapiwa na kuletewa watoto wa nje.
Ke wa Bongo "Nataka Mume mwenye hofu na Mungu, mwenye kazi nzuri, nyumba na gari, mrefu mweusi atayenienzi mpaka kifo" ilihali in 25yrs old ana X boyfriends semi trailers 3, ukoo wake wote hauna hata IST.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
JamiiForums-553690719.jpg
 
Loooooo mkuu una matatizo nini na akina mama?,it take two to tango, sasa uzi wote huu umewatupia lawama akina dada, why mdada awe bikira ILA mkaka asiwe naye bikira ?,una mawazo mgando ya kuwafanya wadada wameletwa ili wawe playing toy's zako, RESPECT mwanamke maana wote tumetoka kwao, na sema NO kwa GBV
Rejea maandiko vizuri hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja.
 
Ndugu zangu na wasalimu sana.

Ndoa nitaasisi kubwa takatifu inayojumuisha muunganiko wa mwanamke bikira ( kama siyo bikira awe mjane, kafiwa na mumewe ndoa ikiwa bado hai) na mwanaume na iliyoundwa na kuanzishwa na mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo pamoja na sisi wanadamu.

Katika vyuo vyetu nchini kumekua na destruri ya wanachuo wengi sana wanaoishi hostel binafsi nje ya chuo au wanaopanga nyumba mitaani kuishi maisha batili na haramu ya unyumba ya mke na mume kwa miaka yote wawapo masomoni.

Wanachuo hawa wamekua wakifanya na kuigiza maisha ya ndoa kwa vitendo, huku mwanaume akiwa romantic sana na kufeki uhalisia wa uanaume kwa kigezo cha kwamba ni mapenzi, wamekua wakitumia boom hela wasizopata kwa jasho, hela za matumizi wanazopewa na wazazi wao kuishi maisha rahisi na batili ya unyumba kipindi chote cha masomo yao huku wakila starehe, kuvaa kimarioo, kusuka nywele mpaka kiunoni na wakati mwingine kushinda disco, viwanja na club, hali kadhalika kusheherekea birthday za kipuuzi.

Ndugu zangu wanawake wanasahau yale maisha aliyoishi ya unyumba chuoni ni haramu na haya maisha mengine ndiyo maisha halisi ya kutafuta hela kwa uchungu, chakula kwa jasho na kwanguvu huku ugumu wa maisha ukipanda na kushuka vile vile. Wanawake wengi wanayachukua maisha ya kucheza na hela ,kula bata na kujistarehesha kwamba ndiyo maisha halisi wanasahau ukija kuolewa katika maisha halisi hizo bata za chuoni huwezi kuzipata lazima uchakae kidogo , upoteze mvuto na mwanaume iposiku atakosa hela.

Wanawake wamesahau kwamba mavazi uyavaayo chuoni, birthday unazosheherekea huko , kulala viwanja, kusuka nywele mpaka kwenye kiuno, kucheza na gesi mwanzo mwisho, kufuga makucha marefu na muda mwingi kunukia kimalkia kwenye maisha ya uhalisia ya mdoa hayo hayapo

Hali kadhalika wamesahau kumtumikisha mwanaume kufanya kazi za ndani wakiita ndiyo mapenzi nalo kiuhalisia halipo maana mwanaume muda mwingi atakua busy kusaka hela familia isonge mbele.

Wanawake wamesahau mwanaume akikuoa atakuzalisha, watoti watakukojolea na kukutapikia , utazidiwa na majukumu na bado mume akirudi atataka akuzagamue , utanuka moshi wa kuni, mkaa na hata utakua na masinzi usoni, wamesahau kwamba hizo nywele ndefu mpaka kiunoni ni mwisho ni huko chuoni na siyo ndani ya ndoa maana ukiinama kuosha vyombo zipo kwenye maji, ukipika zipo kwenye chakula na wakati mwingine kuungua moto.

Wanawake wamesahau kulishana lishana kwa midomo mwisho ni huko chuoni, kwenye ndoa huo muda haupo unatakiwa uwaze kulisha mtoto awe na afya njema huku ukimuhimiza mwezako ale na kama ni mgonjwa basi unamsaidia.

Wamesahau mwanaume kufua nguo za ndani , mashuka, kuchota maji, kuosha vyombo, kusindikizana sokoni na kuongozana kama kumbi kumbi mwisho ilikua chuoni. Ndugu zangu wanawake wamesahau maisha ya bata waliyoishi unyumba batili na haramu. Ndoa ya kishetani mwisho ni huko vyuoni.

Mbaya kabisa wanawake kwa wanaume wamesahau kwamba ndoa ya kipepo, haramu na batili waliyoiishi vyuoni hawakuvunja hayo maagano . Wanakuja mtaani wanasaka kuolewa upya kumbe unaoa au kuolewa na mume au mke wa mtu wa mwanachuo mwezake.

Ndoa nyingi zinateketea wanawake wanayabeba maagano ya ndoa batili za chuoni, maisha ya kipuuzi ya vyuoni waliyoishi unyumba na mababy zao wanayaleta ndani ya ndoa halali na ndoa yenye uhalisia na kupelekea mtafaruku mkubwa sana katika taasisi ya ndoa

Sasa ndugu zangu ;-

***Wanaume jiulizeni sana huyo baby wako unae ringa nae, una vimba na kusema nimempenda atabadilika unajitosa kulipa mahari kubwa na kufanya sherehe kubwa sana ya harusi, je, alipokua chuo aliishi maisha gani ya chuo tena chimba zaidi ujue kama chuoni alikua ni mke wa mtu mwanafunzi mwezake kwa kipindi chote cha maisha yake ya masomo.

***Jiulize kama chuoni aliishi unyumba na akastareheka je wewe unaweza kumpa maisha aliyo yaishi chuoni au ni kujitutumua tuu na kujilisha upepo kwamba upendo hauhesabu mabaya.

****Jiulize je , huyo mke wa wanafunzi wa chuo unayetaka kumuoa ni mjane huyo mumewe mwanafunzi alikufa au unaoa mke wa mtu ambaye mumewe mwanachuo mwezake yupo hai alafu utegemee usije kuchapiwa na kuletewa watoto wa nje.
Lakini ndoa zinavunjika sio za wasomi tu hata za wa latano B zinaenda..
 
Back
Top Bottom