Kuvaa vibaya na ukimwi

Iko simpo, mwambie muende mkapime wote, na umkomalie kweli, atafunguka! Na hapo ni wewe wa kufanya maamuzi.
 
Jiweke mkuu.
 
mwambie mkapime kwanza kama anao automatical atakimbia
 
Kama anatumia dawa si ndo mzuri!Je ukikutana na asiyetumia dawa?
 

Kwa jinsi hali ilivyo Kausha mkuu!
 
Kumbe we nae ni mzee wa porojo eeeh
 
Mbanjue tena kavu nyavu mara vidole vya mkono mara tatu kwa wiki baada ya miezi mitatu ukipata unachokitafuta shangilia na uoe kabisa!
 
hahaa kweli hujui cha kufanya ,ni sawa na kumuona simba anakuvizia alafu hujui cha kufanya
 
Mpe fimbo tu, ukimaliza chap kunywa zile dawa za kujikinga za masaa 48.

Ukifa na kitu baharini huo ni uzembe
 
Ukimwi ni kama hela kila mtu anasema hana, piga show ya kibabe kwanza mengine baadae[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…