Kuuliza si ujinga............

Kuuliza si ujinga............

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
milk copy.jpg
..................
 
Sijakusoma bado Boflo ati!!!,
au nina kengeza?
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha Bofloo!! kwahiyo mbele limefungwa nyuma limezibuliwa si ndio??
 
Bofloooooooooooooooooooooooo!!

Kwanin wamezibua nyuma au mbele sio pazuri?
 
alikwa na haraka ndio maana akafungua mahala pasipostahili.mmmh nimepata wazo au ndio alama ya u david cameroon nn?
 
Namjua aliyefanya hivyo. Siku zote amekuwa mkiukaji wa utaratibu. Amini nakuambia, alikiuka utaratibu hata siku aliyozaliwa kwa kuzaliwa nje ya ndoa.
 
Wakati anazibua hapo alikuwa anataka nini? na hicho alichokitaka alikipata au hakukipata? KAMA ALIPATA SHIDA IKO WAPI?
shida iko...
kwa nini anazibua tundu jingine......wakati original liko!!!!
 
huu ni ubahili tu kama yana sumu dr hatopata hat ya kupima maana yote yamemalizwa
kuna mzungu alikua anafanya tafiti kuona ni sigara gani inavutwa sana bongo lakini vishungi
vimevutwa mpaka haionekani ni sigara gani ilikua na kishungi husika mwishoni akashindwa
 
labda iliisha akaamua kukombeleza ndio katoboa masaburi
 
Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
This Boflo....mhhhh! Niambie kuhusu wapi inapatikana ile ngoma ya zenj wanayocheza wanaume watupu
 
Back
Top Bottom