Kama una buku tu Kuwa makini

Kama una buku tu Kuwa makini

Wauzaji wengi ingawa si wote huwa wana uhuni fulani hivi.Ukienda popote bila kuuliza bei ya unachokisudia kununua/kulipia,wao wanaita kucheza na gap la uzembe wako.Utapigwa bei kubwa na utalazimika kulipa kwa sababu huna chaguo muda huo.Uoga wako wakati mwingine ndiyo akili yako njema.
 
Unakuta anakuja mteja mwenyej analipa buku sahan ileile uliyolipa buk 2

Kisa hukuuliza na wamejua umetegeka.

Kufa kufaana
 
Wewe kwa maisha haya uende mgahawani una buku ukalishe kiuno uagize chakula ?

Labda ukoko ......

Chai sawa buku unapata na vitafunwa kwa migahawa hii ya uswaz
 
Buku unapata chakula hata kam cyo ukoko. Tatzo ujue ni wap pa kwenda
 
Back
Top Bottom