Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Ndahani ile ngoma inaitwa sunsumiya...
mimi binafsi bila kumung'unya maneno nimesha attend kama mara 6....
Sunsumiya ina mzuka wa ajabu sana.......
Ndahani nilikuwa nafanya utafiti.........wacha nicheki picha nikipata nakuwekeaBoflo, nini kilikupeleka kwenye ngoma wanayocheza mashoga? Au nimeambiwa vibaya? Haahaa, ndo maana unazibua box ndivyo sivyo. Unakumbuka mzuka wa ngoma tenye utata.....tafadhali tuwekee angalau picha ya matukio ya ngoma hiyo tutape kuona na kuelewa nini kinaendelea.
Boflo,
Utushirikishe wote tufahamu vema nini kinachoendelea huko nyuma ya pazia maana kuna mambo ambayo ni zaidi ya utalii na uwekezaji huko Zenj
Pale Malindi Zenji ndio Sunsumiya inachezwa, au Funguni, Ukifika Malindi pale kuna mzee mmoja anaitwa mzee Khelewa....ukimuulizia anajulikana Malindi yote , huyu mzee ndio Basha mkubwa na yeye ndiye anayeratibu ngoma
ya sunsumiya, karibu mkuu ngomani
Unacheza wewe Boflo,lol! Ungelijua usingesema...hiyo kitu ni kitu gani! Sithubutu hata siku moja kujiingiza kwenye hiyo biashara.
shida iko...
kwa nini anazibua tundu jingine......wakati original liko!!!!